Ni kweli kabisa, ila tukumbuke ya kua hoja nyingi zilitokana wananchi kulalamikia serikali yao kwa utendaji mbaya wa kutowajibika kwa wananchi, ubadhilifu, ufisadi, wizi wa Mali ya uma n.k huvyo kufanya wananchi kukosa Huduma muhimu. Kwa utawala huu mambo yako tofauti kabisa.Wakati wa kikwete kulikuwa na hoja nzuri kabisa kila wiki lakini siku hizi ITV wanakwepa kuweka hoja nzuri kwanini.