Malumbano ya ccm na chadema juu ya 35%ya bajeti ya maendeleo kutoka domestic revenue | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malumbano ya ccm na chadema juu ya 35%ya bajeti ya maendeleo kutoka domestic revenue

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by JOE58, Jun 20, 2012.

 1. J

  JOE58 Member

  #1
  Jun 20, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA wamekuwa wakikosoa bajeti kuwa haikuweka 35% ya pato la ndani,katika bajeti ya maendeleo kama ilivyo katika mpango wa miaka mitano wa maendeleo! sio mwaka jana wala mwaka huu.Mwaka jana walisema ulikuwa mwaka wa mpito! CCM wanaitetea bajeti kwa kusema kuwa asilimia hiyo inapatikana kwa kuwa imeingizwa katika bajeti ya elimu kama manpower investment ambayo ni maendeleo pia lakini kihesabu inaonekana katika bajeti ya matumizi ya kawaida! Chadema wanahoji hata kama ni hivyo mbona bajeti ya elimu ni sehemu ndogo tu iliyopangwa kwa matumizi ya maendeleo kama ujenzi wamiundo mbinu ya elimun nk? nyingi ni mishahara ,mafuta nk? CHADEMA wanasema hicho ni kiini macho cha ccm baada ya kubanwa wanatafuta wapi pakutokea kwa kuforge mafungu ili kuyahalalisha kuwa ya maendeleo buila kutaja kiasi gani hasa katika bajeti ya elimu iliyopo katika mtumizi ya kawaida ni ya maendeleo!
   
Loading...