BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 2,704
- 6,499
Ukisafiri kutokea Dar kwenda mikoan utakutana sana na Magari tupu ya mizigo yakirudi Dar, haya yalipeleka mizigo kutokea Bandarini na sasa unakuta yanarudi tupu.
Hii maana yake ni kwamba hakuna mizigo ya kubeba kutoka mikoani kupeleka Dar na hatimaye ioande meli? Kwa hio sisi ni wapokeaji wa mizigo tu ila hatuna cha kuuza nje?
Hii ni hatari sana ingawa hakuna kiongozi anaye shituka kwa hili, nchi kuwa ni waagizaji tu ba hawana cha kuuza nje.
Je, sisi Wazawa tunazalisha nini cha kuuza nje ya nchi? Ni kana kwamba hakuna kitu.
Hatari sana hiii kwa ustawi wa nchi, Hio SGR nazani wawekeze sana ibebe abilia la sivyo hayao madeni yatatuumiza sana kuyalipa