Malori ya michanga usiku wa manane Dar ya nani?

Kwenye red: samahani -- hapo mjomba una maana 'clinker' bila shaka.

All the same....lugha sio zetu hizi....take my literal content...umejuaje mimi 'mjomba' na sio 'shangazi?'..joking

:humble:

Clinker may refer to:

Clinker (boat building), construction method for wooden boats
  1. Clinker (waste), waste from industrial processes
  2. Clinker (cement), a kilned then quenched cement product
  3. Clinker brick, rough dark coloured bricks
  4. Clinker Peak, a volcanic peak in British Columbia, Canada
  5. Clinker may also be used for:Small rocks that form in some ʻAʻā lava flows
  6. Waste from coal fires
 
Tulijikwaa 1978 Bigtime na mpaka sasa tunaanguka tu....Dollar moja ilikuwa TZS 5(daladala?)....sasa hivi imefunga turbo kuelekea TZS 2,000 na jamaa wana mpango wa kuprint noti mpya...soon tutakuwa na noti ya 100,000....na hii mastaplani ilitengenezwa mwaka huohuo 1978...ukiipata iweke hapa tafadhali na MMJJ aipate....
Na imeshavuka 2,000
Sasa hivi ni 2200+
 
Hiyo material inaitwa clinque na inatoka nje ingawa nasikia kule Dodoma sehemu inaitwa Kibakwe yapo mamilioni ya tani yamelala.Ni kweli kuwa inasafirishwa usiku kuondoa usumbufu wa foleni manake huwa ni malori kwa mamia.Hilo suala la reli kujengwa ni gumu.Katika masterplan ya Jiji letu tukufu ya 1978(vita ikaharibu) ipo njia ya reli toka ubungo(UFI) kupitia Sinza,(Mori mpaka Kakobe church),Makongo,Lugalo,Mbezi mpaka Tegeta.Shida watu wakajenga juu ya njia hiyo na kubomoa itakua balaa kubwa.Ukiiona ile mastapalni unaweza kulia,watu walifanya kazi sio mchezo,four lanes everywhere hata Uhuru road ni four lanes,Mwenge to city centre six lanes.
Duuh aisee, dah.
 
Kwanza, mdogo wangu alinilalamikia kuwa hawalali usiku kwani kuna malori yanapita usiku wa manane huko Kunduchi yakiwa yamebeba michanga. Tatizo ni kuwa malori haya hupita katika cover of darkness na kuharibu sana barabara na madaraja. Nikamuambia kwanini asifuatilie kwa viongozi wa mtaa pale nyumbani? baada ya kufuatilia akakuta anaambiwa na viongozi kuwa "aliache" suala hilo kwani malori au biashara ni ya mbunge mmoja wa CCM ambaye ni maarufu kwa mambo ya sanaa sanaaa!

Tukiwa tunafikiria nini cha kufanya kutoka maeneo ya Mbezi Beach nako kisa ni hicho hicho. Mdogo alikuwa anashare yanayotokea huko Kunduchi na rafiki yake ambaye naye akasema kule kwao malori hayo yanaletwa kwenye nyumba za uraiani ambapo yanapakua mchanga huo ambao kwa maelezo yake unadaiwa kuwa unaletwa kutoka "Shinyanga" a.k.a kwenye migodi..

Baada ya kupewa taarifa hizo nikaanza kuuliza ni nyumba gani zinazopokea mchanga huo na ni kina nani wanaruhusu mambo hayo kufanyika tena kwa kificho jawabu lake limenitisha. Kumbe watu wenyewe hata huwezi kuwapeleka polisi au kulalamika kwani ndio wenye wenyewe kupitia proxies wao.

Sasa watu kama hawa tunawashughulikiaje? maana kama hadi mchanga wetu ni dili na watu wetu wenyewe kwa tamaa ya fedha wanashiriki kuuza basi sisi yawezekana ni taifa la mazezeta kupita yote yaliyowahi kuwepo duniani - kama yamewahi kuwepo mengine. Au tunaongozwa na magenius wawekezaji!

Wote wengine mnakumbukumbu... watu wanadhania tunapomuunga mkono JPM tunafanya kwa sababu ya mihemko au tumebadili 'gia'.
 
Dah kumbe yalikua Makinika, hii thread ya tangu 2010 naona leo inaleta Mantiki
 
Wakati nafanya kazi kampuni moja hv ya auctionmart kinondoni tulkua tunakamata overtan yaan chini ya tan 10 hairusuhiwi kupita gari llte kubwa kwa barabara za ndani kunduchi,ununio,mbez beach.kawe,mikocheni,masaki,oysterbay n.k
wakati wa shift ya usiku ndo utakutana nayo ni watu wakubwa tushakamat lori za aliekua mkuu wa majeshi mwamunyange tuliliulza mbeba nn wakasema mchanga kiutani tu tukaomba tuuone wee hata kwa dawa atukushuhudia kilichomo,tushakamat malori ya viongozi wakubwa tu majina kapuni
 
Mkulu naye hajawahi kusafirisha kweli enzi hizo?

Au yeye alijikita kwenye kuuza nyumba za serikali tu?

Any way, tuendelee kupata yaliyojificha zaidi
 
musukuma wa kahama alipiga sana tu.kipindi hicho Barrick hawakuweka ulinzi.Madereva waliokua wanabeba toka migodini ndio walikua wanauza huu mchanga
 
Nadhani kuna kitu kimejificha hapo...hayo malori isije ikawa yanasafirisha MARUFUKU....pengine wanayatoa huko UFUKWENI na kuyasambaza MITAANI...nina uhakika 90%huenda ikawa ni MARUFUKU....
 
Wewe walau una msimamo.

Msimamo uliojikita kwenye kanuni.

Ipo siku na wengine watakuelewa tu.

Tupo wengi - wewe mmojawapo - tunakosoa inapolazimu lakini tunaelewa ni mahali gani nchi yetu ilifika kiasi kwamba hatua zinazochukuliwa tunaelewa kwanini zinachukuliwa hata kama si zote tunazikubali. Ila hawa wengine hawawezi kuelewa tena kwani walipokubali kuwa compromised wamekuwa compromised kweli kweli. Hadi inatisha. Na watakapokataliwa kwa ukali zaidi 2020 ndio wataanza kuumana wenyewe!
 
Back
Top Bottom