Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Hili ni tamko ambalo tulitegemea muda mrefu liwe limetolewa. Nchi kadhaa za Kusini mwa Afrika zimekuwa na utaratibu huo ikiwepo Zambia.
Katika nchi hizo Malori au Magari ya Mizigo yamekuwa hayaruhusiwi Kutembea kabla ya Saa Kumi na Mbili jioni na baada ya saa kumi na Mbili Asubuh. Hii ingesadia sana kupunguza ajali zinazosababishwa na magari hayo kutokana na kuwa mara nyingi yamekuwa ni sababu ya ajali. Tukiangalia hata Ajali oliyotokea hivi karibun ikihusisha Lori na Msafara wa Kamati ya Bunge.
Hili linawezekana na lingepunguza msongamano mkubwa unaotokea barabarani. Ni wakati wa Waziri Mhusika kutoa Tangazo hili ili kupunguza msongamano na pia Ajali zenye kukingika.