Nazgur
JF-Expert Member
- Apr 19, 2020
- 3,730
- 2,850
Unashabikia tabia za kichawi kumuonea jirani yako wivu na kusingizia vitu ambavyo havipo kwa kuwa anakuzidi uwezo?Mbona mnahangaika sana?kwani soko lipo kwao tu?
Nyie ni matajiri yanunueni hayo mahindi ili muwapatie wanyama /mifugo tu.
Mi nadhani kwa kiwango cha uelewa wako kutakuwa na mmoja kama sio wote wazazi wako ni wachawi
Kenya kama walikuwa haeataki mahindi yetu wangesema kwa uwazi bila kuongeza uongo wa sumu, na hakuna mtu angewalazimisha.