Malori 15,000 yamesimamisha shughuli za usafirishaji mwaka 2016

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Malori 15,000 yamesimamisha shughuli za usafirishaji mwaka 2016 linaripoti gazeti la The Citizen. Hii maana yake ni Watanzania 30,000 kukosa ajira za moja kwa moja. Familia 30,000 zimekosa kipato cha kuweza kuishi kwa sababu baba kakosa kazi. Wenye nyumba za wageni na mama lishe wamekosa biashara na inawezekana wengi wanashindwa kulipa mikopo yao ya SACCOS ama VICOBA ama PRIDE.

Serikali yenyewe imekosa kodi ya mafuta (road toll) kuweza kukarabati barabara zetu kupitia Road Fund Board. Hata REA mapato yao yameshuka kwa sababu kila lita ya mafuta kuna fedha inaenda REA.

Tujielekeze kuendesha Uchumi sasa
FB_IMG_1483009199886.jpg
 
Back
Top Bottom