Malkia wa Uingereza ana mamlaka gani katika nchi kama shuguli zote zinafanywa na Waziri Mkuu?

ndegemzungu

Member
Mar 10, 2019
92
240
Naomba kujulishwa power aliyonayo Malkia wa Uingereza dhidi ya Waziri Mkuu.

Kwa sababu shughuli zote za serikali anafanya Waziri Mkuu na hata kuwajibika anawajibika yeye.
 
Naomba kujulishwa power aliyonayo malkia wa uingereza dhidi ya waziri mkuu

Kwa sababu shuhuli zote za serikali anafanya waziri mkuu na hata kuwajibika anawajibika yeye

Ukiingia google watakuelewesha vizuri tu.
 
Uingereza ni Constitutional Monarchy.

Baadhi ya majukumu ya Malkia ni pamoja na;
  • Kufungua vikao vya Bunge kila mwaka.
  • Miswada inayopitishwa na Bunge haiwezi kuwa sheria kamili mpaka itiwe muhuri na Malkia. Wenyewe wanaita 'Royal Assent'.

Katika suala la 'Mamlaka' yapo;
  • Anaweza kumfuta kazi pale inapobidi huyo Waziri Mkuu unayesema kuwa ana shughuli nyingi sana.
  • Vilevile ana mamlaka katika kumiliki na pia vibali vya kipekee mfano tu anaweza kusafiri kwenda nchi yeyote ile duniani atakayoitaka bila kuwa na Passport.

Hayo ni baadhi tu!
 
Inatosha, akitaka elimu nyingine akulipe
 
Kama ndo hivyo bas huyo ndo mkuu wa nchi
Uingereza ni Constitutional Monarchy.

Baadhi ya majukumu ya Malkia ni pamoja na;
  • Kufungua vikao vya Bunge kila mwaka.
  • Miswada inayopitishwa na Bunge haiwezi kuwa sheria kamili mpaka itiwe muhuri na Malkia. Wenyewe wanaita 'Royal Assent'.

Katika suala la 'Mamlaka' yapo;
  • Anaweza kumfuta kazi pale inapobidi huyo Waziri Mkuu unayesema kuwa ana shughuli nyingi sana.
  • Vilevile ana mamlaka katika kumiliki na pia vibali vya kipekee mfano tu anaweza kusafiri kwenda nchi yeyote ile duniani atakayoitaka bila kuwa na Passport.

Hayo ni baadhi tu!
 
Hata North Korea?

Kwahio UK Nimiongoni Mwa Taifa Linalo Endeshwa Kidikteta ?!......
 
Shughuli zote za siasa zinafanywa na Waziri mkuu kwa idhini ya Malkia. Baada ya uchaguzi waziri mkuu anaonana na malkia kupewa idhini ya kuunda serikali.
Uchaguz mkuu huwa unafanyika lini mbona sijawahi sikia uchaguz mkuu
 
Back
Top Bottom