Capitano
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 1,959
- 1,633
Naunga mkono hojaAt least umekaribia jawabu
Naunga mkono hojaAt least umekaribia jawabu
Maumbile ya kinamama hua ni mtihani sana
Wewe unanuka funza kweliChuga wananukia moshi mda wote na kula mkokaa hawezi kua kama huyo wa Mbeya
Hujui mademu wazuri weweWatu wawili wamesema ana haiba za chuga. Ina maana demu za chuga ndiyo ziko kama kifurushi cha mawe?
Huez linganisha mbeya na chuga..chuga kama kifurushi cha jiweHujui mademu wazuri wewe
Baki na vile vimbilikimo vyenu vya mbeya huko...vyeusiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Ama kweli bado una ushamba weweHuez linganisha mbeya na chuga..chuga kama kifurushi cha jiwe
Hao wa chuga acha waendelee kushindana kupanda milimaAma kweli bado una ushamba wewe