Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

Utampeleka nani wa CCM kwenye HARDtalk?

Niggaz pliiz.

CCM ina watu wengi sana walio capable na kufanya mahojiano na vyombo vya habari vya kimataifa.

Msitake kuniambia kuwa waziri wetu wa mambo ya nje hana uwezo. Hivi mmeshawahi kumwona akihojiwa na vyomvo vya nje?

Kabisa unaweza kusema with a straight face kwamba Mahiga hana uwezo wa kufanya mahojiano na HARDtalk?

Ben Mkapa je?

Mark Mwandosya je?

Abdulrahman Kinana je?

Asha-Rose Migiro je?

CCM ina hazina ya kutosha ya watu wenye uwezo. Acheni siasa za kijinga.

On the other hand, upinzani wana nani? Huyo Lissu mwenyewe alibanwa mbavu na hakujibu vizuri maswali.
Tunasema ccm ya sasa yakina polepole,makonda,ally happi, genista muhagama,kibajaji na wote wabunge wa sasa akuna na tena naludia ukimtoa mahiga peke yake sio cha kabudi wala kitila mkumbo anaweza kukalia kile kiti kwa dakika 25 bila kujikojolea au kupantwa na shinikizo la damu.
 
FOH
 
.Le prof Kabudi.we jamaa noumaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya. Hakuna. Si JPM, si Bashiru, si Kibajaj wala Fuso. Hakuna. Si kiongozi mstaarabu kama mama Samia, au mropokaki kama Chakubanga. Hakuna. Narudia hakuna kiongozi yoyote wa CCM (kwa nyakati hizi) anayeweza kukaa kwenye Hardtalk walau kwa dakika 5 tu bila kuzirai, au kupanick. Hakuna.

The program called HARDTALK, and only Hard brains takes chance. Sasa utampeleka nani wa CCM kwenye Hardtalk? Akaseme nini? Fonti fedi badala ya front page? Au conjogate badala ya congratulate? Hebu kuweni serious kidogo.

Only hard brains, and global brains can take chance to Hardtalk. Lissu ni Global brain ndio maana ameshiriki Hardtalk na amejibu kwa utashi na weledi maswali yote kwa muda wote wa kipindi. Muulizeni Kagame kilichomtokea alipoalikwa kwenye hicho kiti. 🤣🤣. Hakuweza kustahimili kabisa. Panicking za kutosha utadhani anahojiwa na waasi wa FNL Palipehutu.

Kwahiyo kile kiti sio chepesi. Ni cha moto kwelikweli. Ndio maana Hardtalk ni moja ya vipindi vinavyoheshimika sana duniani. Watu wanaichukulia Hardtalk kirahisi utadhali Lissu aliitwa kwenye 'Dakika 45' za ITV au kwenye 'Kapu la TBC'. Ile ni HardTalk ya BBC. Kuweni serious.!

Kuonesha kuwa Lissu ni global brand kipindi chake kimetazamwa na watu milioni 350 duniani kote hadi sasa. Na wengine wanaendelea kutazama. Milioni 350 ni sawa na watanzania wote mara 7. Hii ni heshima kubwa kwa mtu ambaye ni Mbunge tu kufuatiliwa kwa wingi kiasi hiki duniani pote. Mpelekeni JPM akitizamwa na watu laki mbili na nusu, mniambie nianze kutafuta uraia wa nchi nyingine.

Lissu alijibu maswali yote kwa hoja na weledi mkubwa. Kuna vitu vitatu ambavyo nimeona CCM wakipiga navyo kelele. Cha kwanza ni grammar ya Lissu. Wanadai Lissu alipanick hadi akasahau kiingereza. Eti kuna mahali alitumia 'are' badala ya 'is' na akatumia primary auxiliaries badala ya modal auxiliaries. Yani CCM leo wamegeuka walimu wa English paper 1 form five HKL? Hiki ni kichekesho. CCM hawahawa ambao JPM akiboronga wanasema kujua kingereza sio kipimo cha akili, ndio wanaomfundisha Lissu kingereza leo? Wgat a shame?

Yani Lissu kutumia 'are' badala ya 'is' nayo ni hoja ya kujadili? Kwahiyo tuseme Lissu ameharibu grammar kuliko mzee wa Fenti fodi sio? Hebu acheni utani. Bora Lissu amekosea grammar kidogo akiwa kwenye 'kiti moto cha dunia' kuliko mzee wenu anayekosea grammar hata akiwa anasalimia wananzengo. Jiulize siku akipelekwa kwenye Hardtalk itakuaje? Kiingereza chote cha kemia kitaevaporate kwenye intaprinyuaa.

Hoja ya pili ambayo wanaCCM wameibeba ni kuhusu ushoga. Kwamba eti Lissu alidai akiwa Rais ataruhusu ushoga. Uongo wa mchana kweupe. Hapa ndipo napohisi huenda hawakutazama kipindi, na kama walitazama hawakuelewa, na aliyewatafsiria aliwapotosha.

Lissu alichosema ni kwamba sheria za nchi yetu (ambazo zimetungwa na wabunge wengi wa CCM) haziruhusu serikali kuingilia masuala ya faragha ya wananchi wake. Yani dola haina mamlaka kisheria kuchunguza watu wanafanya nini katika vitanda vyao. Kwahiyo akiwa Rais na sheria zikabaki kama zilivyo atakachofanya ni kuzingatia utawala wa sheria. Unless otherwise yafanyike marekebisho ya sheria ya kuruhusu serikali kuingilia mambo ya faragha ya wananchi wake.

Kwa lugha rahisi ni kwamba majibu ya Lissu yaliivua nguo serikali ya CCM, ambayo inajidai kupinga ushoga lakini serikali hiyohiyo imetunga sheria za kulinda faragha. Lissu alichomaanisha kama tunataka kupingana na ushoga tubadili sheria zetu, sio kupinga kwa mihemko. Haiwezekani serikali ya CCM inatunga sheria zinazo entertain ushoga na haitaki kuzibadilisha, halafu akina Bashite wakipata mihemko wanajitokeza hadharani kujifanya wanapinga ushoga. Hiki ni kichekesho.

Lissu anachosema badilisheni sheria kwanza. Kumbuka Lissu ni mwanasheria na ni mtu wa principles. Hata kwenye madini alisema kwa logic ileile aliyosemea ushoga. Kwamba kama tunataka kufaidi rasilimali za madini tubadili sheria kwanza, sio kwa mihemko. Serikali ya CCM ilitunga sheria ya kuwaruhusu wawekezaji wa madini kuchukua 96% ya gross income na watanzania kuambulia 4% tu. Halafu JPM anatoka hadharani na kusema tumeibiwa sana, wakati nae alikuwa sehemu ya wabunge wa CCM waliopitisha sheria hiyo kwa kura nyingi za ndioo. Maajabu.!

Lissu akamwambia badili kwanza sheria, bila kubadili sheria hatuwezi kupambana na hao wawekezaji. Wakienda mahakamani watatushinda. Akaonekana adui. Matokeo yake sote tunayajua. Hakuna cha Noah 7 tulizoahidiwa kwa kila mtanzania, wala Bajaj moja. Sheria zimebaki zilezile, wawekezaji wanaendelea kupiga 96% ya gross income, na sisi tunaendelea na kiki za kisiasa. Business as usual.

Jambo la 3 ambalo CCM wote wanashangilia kama mazuzu ni namna Stephen Sackur alivyokua akiuliza maswali. CCM wanadhani Steve anamuunga mkono JPM ndio maana akauliza maswali ya kumprovoke Lissu. Hadi kachakubanga kamempost Steve na kusema ni mwanachama mpya wa CCM. Nikacheka sana halafu nikaishia kukaonea huruma, labda kwa sababu ya utapiamlo utotoni huenda kaliathirika sehemu ya ubongo inayosaidia kureason.

Msingi wa kipindi cha HardTalk ni provocation. The Q&A session its a provocative interview. Yani host wa kipindi anatafuta facts zote muhimu za kukuprovoke. Ndio maana viongozi wengi wakienda pale wanaishia tu kupanick na kuondoka.

The host of HardTalk show is always in opposite angle of the interviewee. Yani akienda JPM leo kuhojiwa, Steve atatafuta facts zote za upande wa opposition na atamuuliza maswali very provocative, kiasi kwamba unaweza kuhisi ametumwa na Chadema. The same way akienda kiongozi wa upinzani, atatafuta facts za upande wa serikali akupige nazo hadi uhisi ametumwa na serikali. Hivi ndivyo kipindi kilivyo kwa yeyote anayeenda kuhojiwa. Lengo ni kukufanya uumize kichwa na kutoa majibu yenye weledi. Ndio maana kipindi kinaitwa HardTalk na sio Futuhi.

Kwahiyo Chakubanga kumuita Steve mwanachama mpya wa CCM ni ulimbukeni tu. Leo JPM akiitwa kwenye Hardtalk (japo hana standard ya kuitwa) Chakubanga huyohuyo atasema Steve ni mwanachama wa Chadema tena mjumbe wa kamati kuu. Maana kwa maswali atakayopigwa lazima Chakubanga aseme maswali hayo yaliandaliwa na sekretarieti ya Chadema. Kwahiyo tumuonee tu huruma, huenda hiki ndio kipindi chake cha kwanza cha Hardtalk kukitizama, au huenda aliugua pepopunda utotoni. Tumsamehe.!

Malisa GJ

Kuna uwezekano mkubwa mimi siku hizi kiingereza kimeshanipiga chenga pasipo mimi mwenyewe kujua! Huyu jamaa anayeendesha kipindi hiki ni VERY INTELLIGENT AND SMART, siyo wa kukurupukia tu. Mimi namfahamu tangu hata hajawa na hizo nywele nyeupe. Tundu Lissu alifaa kuhojiana possibly na watu kama akina Larry King ambao ni VERY INTELLIGENT AND HUMBLE. Hili jamaa lenyewe ni STRICTLY INTELLIGENT AND SMART. Kwa mtu mwenye akili, hili jamaa limemwaibisha sana TUNDU LISSU, na ametuaibisha sana kama Afrika, na si kama Tanzania tu peke yake.
 
Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya. Hakuna. Si JPM, si Bashiru, si Kibajaj wala Fuso. Hakuna. Si kiongozi mstaarabu kama mama Samia, au mropokaki kama Chakubanga. Hakuna. Narudia hakuna kiongozi yoyote wa CCM (kwa nyakati hizi) anayeweza kukaa kwenye Hardtalk walau kwa dakika 5 tu bila kuzirai, au kupanick. Hakuna.

The program called HARDTALK, and only Hard brains takes chance. Sasa utampeleka nani wa CCM kwenye Hardtalk? Akaseme nini? Fonti fedi badala ya front page? Au conjogate badala ya congratulate? Hebu kuweni serious kidogo.

Only hard brains, and global brains can take chance to Hardtalk. Lissu ni Global brain ndio maana ameshiriki Hardtalk na amejibu kwa utashi na weledi maswali yote kwa muda wote wa kipindi. Muulizeni Kagame kilichomtokea alipoalikwa kwenye hicho kiti. . Hakuweza kustahimili kabisa. Panicking za kutosha utadhani anahojiwa na waasi wa FNL Palipehutu.

Kwahiyo kile kiti sio chepesi. Ni cha moto kwelikweli. Ndio maana Hardtalk ni moja ya vipindi vinavyoheshimika sana duniani. Watu wanaichukulia Hardtalk kirahisi utadhali Lissu aliitwa kwenye 'Dakika 45' za ITV au kwenye 'Kapu la TBC'. Ile ni HardTalk ya BBC. Kuweni serious.!

Kuonesha kuwa Lissu ni global brand kipindi chake kimetazamwa na watu milioni 350 duniani kote hadi sasa. Na wengine wanaendelea kutazama. Milioni 350 ni sawa na watanzania wote mara 7. Hii ni heshima kubwa kwa mtu ambaye ni Mbunge tu kufuatiliwa kwa wingi kiasi hiki duniani pote. Mpelekeni JPM akitizamwa na watu laki mbili na nusu, mniambie nianze kutafuta uraia wa nchi nyingine.

Lissu alijibu maswali yote kwa hoja na weledi mkubwa. Kuna vitu vitatu ambavyo nimeona CCM wakipiga navyo kelele. Cha kwanza ni grammar ya Lissu. Wanadai Lissu alipanick hadi akasahau kiingereza. Eti kuna mahali alitumia 'are' badala ya 'is' na akatumia primary auxiliaries badala ya modal auxiliaries. Yani CCM leo wamegeuka walimu wa English paper 1 form five HKL? Hiki ni kichekesho. CCM hawahawa ambao JPM akiboronga wanasema kujua kingereza sio kipimo cha akili, ndio wanaomfundisha Lissu kingereza leo? Wgat a shame?

Yani Lissu kutumia 'are' badala ya 'is' nayo ni hoja ya kujadili? Kwahiyo tuseme Lissu ameharibu grammar kuliko mzee wa Fenti fodi sio? Hebu acheni utani. Bora Lissu amekosea grammar kidogo akiwa kwenye 'kiti moto cha dunia' kuliko mzee wenu anayekosea grammar hata akiwa anasalimia wananzengo. Jiulize siku akipelekwa kwenye Hardtalk itakuaje? Kiingereza chote cha kemia kitaevaporate kwenye intaprinyuaa.

Hoja ya pili ambayo wanaCCM wameibeba ni kuhusu ushoga. Kwamba eti Lissu alidai akiwa Rais ataruhusu ushoga. Uongo wa mchana kweupe. Hapa ndipo napohisi huenda hawakutazama kipindi, na kama walitazama hawakuelewa, na aliyewatafsiria aliwapotosha.

Lissu alichosema ni kwamba sheria za nchi yetu (ambazo zimetungwa na wabunge wengi wa CCM) haziruhusu serikali kuingilia masuala ya faragha ya wananchi wake. Yani dola haina mamlaka kisheria kuchunguza watu wanafanya nini katika vitanda vyao. Kwahiyo akiwa Rais na sheria zikabaki kama zilivyo atakachofanya ni kuzingatia utawala wa sheria. Unless otherwise yafanyike marekebisho ya sheria ya kuruhusu serikali kuingilia mambo ya faragha ya wananchi wake.

Kwa lugha rahisi ni kwamba majibu ya Lissu yaliivua nguo serikali ya CCM, ambayo inajidai kupinga ushoga lakini serikali hiyohiyo imetunga sheria za kulinda faragha. Lissu alichomaanisha kama tunataka kupingana na ushoga tubadili sheria zetu, sio kupinga kwa mihemko. Haiwezekani serikali ya CCM inatunga sheria zinazo entertain ushoga na haitaki kuzibadilisha, halafu akina Bashite wakipata mihemko wanajitokeza hadharani kujifanya wanapinga ushoga. Hiki ni kichekesho.

Lissu anachosema badilisheni sheria kwanza. Kumbuka Lissu ni mwanasheria na ni mtu wa principles. Hata kwenye madini alisema kwa logic ileile aliyosemea ushoga. Kwamba kama tunataka kufaidi rasilimali za madini tubadili sheria kwanza, sio kwa mihemko. Serikali ya CCM ilitunga sheria ya kuwaruhusu wawekezaji wa madini kuchukua 96% ya gross income na watanzania kuambulia 4% tu. Halafu JPM anatoka hadharani na kusema tumeibiwa sana, wakati nae alikuwa sehemu ya wabunge wa CCM waliopitisha sheria hiyo kwa kura nyingi za ndioo. Maajabu.!

Lissu akamwambia badili kwanza sheria, bila kubadili sheria hatuwezi kupambana na hao wawekezaji. Wakienda mahakamani watatushinda. Akaonekana adui. Matokeo yake sote tunayajua. Hakuna cha Noah 7 tulizoahidiwa kwa kila mtanzania, wala Bajaj moja. Sheria zimebaki zilezile, wawekezaji wanaendelea kupiga 96% ya gross income, na sisi tunaendelea na kiki za kisiasa. Business as usual.

Jambo la 3 ambalo CCM wote wanashangilia kama mazuzu ni namna Stephen Sackur alivyokua akiuliza maswali. CCM wanadhani Steve anamuunga mkono JPM ndio maana akauliza maswali ya kumprovoke Lissu. Hadi kachakubanga kamempost Steve na kusema ni mwanachama mpya wa CCM. Nikacheka sana halafu nikaishia kukaonea huruma, labda kwa sababu ya utapiamlo utotoni huenda kaliathirika sehemu ya ubongo inayosaidia kureason.

Msingi wa kipindi cha HardTalk ni provocation. The Q&A session its a provocative interview. Yani host wa kipindi anatafuta facts zote muhimu za kukuprovoke. Ndio maana viongozi wengi wakienda pale wanaishia tu kupanick na kuondoka.

The host of HardTalk show is always in opposite angle of the interviewee. Yani akienda JPM leo kuhojiwa, Steve atatafuta facts zote za upande wa opposition na atamuuliza maswali very provocative, kiasi kwamba unaweza kuhisi ametumwa na Chadema. The same way akienda kiongozi wa upinzani, atatafuta facts za upande wa serikali akupige nazo hadi uhisi ametumwa na serikali. Hivi ndivyo kipindi kilivyo kwa yeyote anayeenda kuhojiwa. Lengo ni kukufanya uumize kichwa na kutoa majibu yenye weledi. Ndio maana kipindi kinaitwa HardTalk na sio Futuhi.

Kwahiyo Chakubanga kumuita Steve mwanachama mpya wa CCM ni ulimbukeni tu. Leo JPM akiitwa kwenye Hardtalk (japo hana standard ya kuitwa) Chakubanga huyohuyo atasema Steve ni mwanachama wa Chadema tena mjumbe wa kamati kuu. Maana kwa maswali atakayopigwa lazima Chakubanga aseme maswali hayo yaliandaliwa na sekretarieti ya Chadema. Kwahiyo tumuonee tu huruma, huenda hiki ndio kipindi chake cha kwanza cha Hardtalk kukitizama, au huenda aliugua pepopunda utotoni. Tumsamehe.!

Malisa GJ
Kwa wale tuliomsikia, hakuna hata swali moja aliloweza kujibu zaidi ya kuzungukia yale yale ya kudai demokrasia, uhuru na haki. Hata suala kuhusu ushoga alimung'unya maneno asitoe msimamo wake binafsi. Ati huyo ndiye anatamani kuwa Rais!
 
Miezi kama 2 au 3 iliyopita, sakata la Kashoggi likiwa bado jipya jipya, nilitazama kipindi cha HardTalk kikimhusisha mama mmoja msomi mzuri (alipata kuwa mwalimu wa chuo kikuu), anayeongea Kiingereza kizuri tu lakini ni mshauri wa Rais Edorgan wa Uturuki. Mama huyo alitaka kulia machozi kwa maswali ya Stephen Sackur. Licha ya kwamba nchi ya Uturuki ilikuwa imejijengea heshima kimataifa kwa jinsi ilivyoshughulikia kadhia ya Jamal Kashoggi, Stephen Sackur hakumuangalia nyani usoni. HardTalk siyo mchezo. Kwa hali yetu ya kidiplomasia sasa hivi, nadhani hata Dr. Mahiga, mwanadiplomasi wa siku nyingi hatakubali kushiriki kipindi hicho kama mwakilishi wa serikali hii!
 
Nimeangalia kipindi chote. Na sikuona lolote zaidi ya mtu aliyekuwa ameweka essay yake tayari yenye Jina „JPM“ then akawa ananyonga majibu yake yote ya maswali ya Bwana mtangazaji kufit title ya essay yake. Poleni sana kama ndo akili ile basi Naona Sisi Tubaki tu Ulaya. Kaeni wenyewe. Umemtazama usoni na jinsi alivyokuwa anababaika. Are you for really? Please kuangaliwa na Watu wengi Sio issue. Nakueleza leo huyu JPM akija Ulaya huku. Ataangaliwa na zaidi. People are talking about him wanawaza Hivi kuna waafrika bado wako serious kiasi hicho. Give this man respect. VIVA JPM.

Lissu alikuwa kivutio kwa sababu ya kunusirka risasi 40. Yap! Hata mimi nadhani watazamaji watakuwa wengi kwa sababu mbalimbali. Ni pamoja na kutaka kujua undani wa kauli kama zile za kuhusu uzazi wa mpango, watoto wa kike wajawazito, human rights is not priority, nk
 
Kamanda iaelekea sindano imekuingia sawia..huna hata hoja umebaki kutapatapa tu. Usinilaumu mimi mlaumu Lissu kiongozi wako

Punguza mihemeko, ona unavyozidi jidhalilisha, nani kasema hiyo ni hoja???Nikisema wewe ni kilaza unadai nakuonea, sikia
hilo ni ombi langu kwa mwajiri wako akufute kazi na siyo hoja yangu kwenye mada husika, Elimu Elimu Elimu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
At least siasa za wakati huu zinawaweka vijana waliosoma pamoja katika changamoto nyingi kabla ya uzee wao.
 
Wewe Suphiani, muombe Bwana Sackur pia amualike Mheshimiwa 'Kazi' anayeongoza Muhimili anaotoka muhojiwa wake wa tarehe 21 January kwani nae anatuhumiwa kumnyima hela kwa ajili ya matibabu na kutishia kumfukuza kwenye huo muhilmili.
 
Back
Top Bottom