Malisa Godlisten amepunguza kujihusisha na siasa za CHADEMA

Ruwamangi

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
947
1,676
Kijana Malisa Golisten au maarufu mitandaoni Kama Malisa GJ amepunguza Kukinadi Chama Chake cha Demokrasia Na Maendeleo Chadema kama Alivyokuwa hapo mwanzoni mpaka Kufikia Hatua Ya Kuwania Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini. Lakini siku hizi ni kama Malisa Amekisusia chama hicho kilicho mtambulisha mitandaoni.

Malisa haonekani tena akitangaza sera za chama hicho wala kudai Katiba Mpya ambayo ni moja ya agenda ya Chadema

Na badala yake Malisa amejikita Kusadia Jamii kwa wenye mahitaji maalum kupitia ushawishi wake kwenye Ma group ya wtsp yeye na washirika wake!

Binafsi naona Malisa amechagua njia nzuri kisiasa kama bado ana NIA kuwatumikia wananchi wa Taifa hili.
 
Amegundua kwenda field ni bora kuliko kupiga kelele mitandaoni.. Pia ameona sio busara kupingapinga kila kitu cha serikali..
Kwa kifupi hataki kuwa keyboard warrior bali anataka kuwa Real life warrior..!
 
Mkuu chadema ni chama changu, nimeamua kujitoa kuwasaidia wananchii, na wew unaweza kuchangia kila ulichokuwa nacho kupitia namba 0679199642, Ahsante
 
Wamasima upepo wachaga wote ikiwa mbowe katulia, Lissu nae kaanza kupoa yeye nani malisa azidishe harakati wakati Mama kasema wapunguze stuggle halafi wabishe hodi wakae ofisini watoe mawazo yao. Ccm oye in Makongor voice.

Malisa kwa connection alizonazo lazima wamamuambia tulia kijana utalambishwa asali hata unaibu waziri au ubunge ukamsadie Dorothea Gwajima inatosha kabisa
 
Back
Top Bottom