Malipo ya Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyovunjika 1977 yanafanyika lini?

semzei

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
416
266
Kuna habari zinazo wasumbua wazee wastaafu wa iliyokuwa jumuiya ya afrika mashariki iliyovunjika mwaka 1977 kwamba serikali ya awamu ya tano imeridhia kutekeleza hukumu ya mahakama kuu kuwalipa mafao yao mwezi huu wa December 2016 .Kama yupo mtu mwenye taarifa sahihi atujuze.
 
Back
Top Bottom