mikagati
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 320
- 70
Habar, kumekuwa na ubabe unaoendelea halmashauri ya mkuranga na hili swala limekuwa mazoea, toka mwaka jana katika malipo wanapunguza siku moja moja.
Mfano mmesimamia siku saba, lakin malipo mnapewa ya siku sita ,ukihoji unaambiwa msumbufu na hutopangiwa tena kazi maalumu. Kwa nin manyanyaso kama haya yanazid kuota miziz?
Najua humu JF hata viongoz mbal mbal wanasoma hizi mada jaribuni kufuatilia hil swala mtaona haya niandikayo