Malipo wasimamizi mtihani wa Form Two Mkuranga

mikagati

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
320
70
Habar, kumekuwa na ubabe unaoendelea halmashauri ya mkuranga na hili swala limekuwa mazoea, toka mwaka jana katika malipo wanapunguza siku moja moja.

Mfano mmesimamia siku saba, lakin malipo mnapewa ya siku sita ,ukihoji unaambiwa msumbufu na hutopangiwa tena kazi maalumu. Kwa nin manyanyaso kama haya yanazid kuota miziz?

Najua humu JF hata viongoz mbal mbal wanasoma hizi mada jaribuni kufuatilia hil swala mtaona haya niandikayo
 
Kwa maelezo na mfano uliotoa sijaona ulipoonewa. Kama umesimamia siku 7 ulitaka ulipwe siku 8?
 
unapolalamika unatakiwa kuweka detail zote, siku moja wanalipa sh ngap? na izo siku saba inakua sh ngap? sasa hapo ni hewa labda sis tutaona walikupa sahih ya siku 7 ? na wewe ukugawanya kupata ratio ya siku moja sh ngap? ili kama na mim kiongoz nasoma niweze kucompare na wilaya yangu either mbeya mjin au kinondoni.... KUONEWA KWA WALIMU KUMEZIDI JAMANI NA HAWA MAAFISA WA CCM.,
 
waalimu wataendelea kuonewa kwasababu hawana umoja chama cha CWT hakifanyi kazi zaidi ya kufuatilia ambao hawakatwi contribution,katika taifa letu waalimu ndio watumishi wanaodharaulika na kunyanyaswa mfano wanafanya kazi kwenye mazingira magumu kama vile vijijini hamna maji wala umeme na mitandao ya simu haishiki pamoja na hayo yote mishahara ni midogo na wanadai serikali lakini hawalipwi AMKENI WALIMU
 
Back
Top Bottom