Malipo NBC kwa IT yakoje?

kuna jamaa katoka voda yupo pale nbc anaitwa maharage chande ndo COO pale sas hivi, kajamaa ni kafisadi kadogo alipokuwa voda km ME(managing executive) wa IT&Billing akaanzisha kampuni inaitwa softnet aka vodahuduma akai chomeka pale voda km IT help desk, kwa mwezi wanakula cheki ya miliono 165. sasa hivi softnet ipo makampuni mengi tu inaoperate as IT help desk. jamaa sasa yupo nbc as chief operating officer kama kuna ka kampuni kapo nbc km it helpdesk atakapiga chini au atasubiri mkataba uishe alafu ataipiga chini softnet itaingia hapo. km wewe hujasoma UDSM maharage hakuchukui hahaaa
 
Duh!
Kwa hiyo unashauri vipi mtaalam?
CRDB Malipo yao yamekaaje? Bank nyingine?
 
WEE SOFTNET NI YA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA OTHMAN YAKUB WADOGO ZAKE NDIO WANA I RUN KWA SASA WANAPENYA KILA MAHALI KWA VI MEMO.LAKINI NI BORA WASWAHILI NAO TULE SIO WAHINDI TUU SOFTTECH COMP CENTRE POWERCOMP.salary vijana wa dot com wanajilipa mafao yao mapema wanakimbia!
 
Wana JF mlio NBC tujuzeni jamani!
Dogo inategemea na experience yako arifu.....but jamaa wanabana kichizi pale ni kufunga tai tu unakamata mashori lakini kimshiko nooo......kwa IT support wale wanaanza na kilo 4-5 kama gross hawazidi 6 kama gross....
....
kwa kifupi bank nyingi zinabana sana unless uwe na the special one na IT certification kama MCSA,MCSE,MCTIP Ooracle OCP na nyingine
 
Pale NBC kuana kampuni maalumu imepewa tenda ya kazi zote za IT (IT help desk)
hiyo kampuni inaitwa Infosys.
so kama unataka uajiriwe na NBC ktk kitengo cha IT haiwezekani mpaka uajiriwe na hao Infosys tena inategemea hao infosys watakupangia wapi kwani sio lazma wakupangie NBC.
 
Hiyo InfoSys ni vigogo fulani wako BOT
 
CRDB ni utakavyokuja kichwa kichwa .. unaweza shangaa ukaanza na laki 6, na mwenzako zaidi ya millioni, hiyo ndo picha, unless sikuelewa ulimaansiah nini kwa kusema IT (Info tech, sio?)
 
wakuu nimefanya kazi na hao nbc longtime malipo yanategemea na cv yako, niliingia pale kutoka kampuni nyingine katika kitengo cha IT, nikaanzia 2.1M gross, lakini baadae nikaacha, so kama cv yako inauza nenda ila kama umetoka shule itakula kwako hahahahah
 
CV yangu iko vema ktk ICT! Kwa hiyo you mean CRDB inategemeana na makubaliano nao wajati NBC ni CV kali ndio ina matter! Thanks friends!
 
kuna jamaa katoka voda yupo pale nbc anaitwa maharage chande ndo COO pale sas hivi, kajamaa ni kafisadi kadogo alipokuwa voda km ME(managing executive) wa IT&Billing akaanzisha kampuni inaitwa softnet aka vodahuduma akai chomeka pale voda km IT help desk, kwa mwezi wanakula cheki ya miliono 165. sasa hivi softnet ipo makampuni mengi tu inaoperate as IT help desk. jamaa sasa yupo nbc as chief operating officer kama kuna ka kampuni kapo nbc km it helpdesk atakapiga chini au atasubiri mkataba uishe alafu ataipiga chini softnet itaingia hapo. km wewe hujasoma UDSM maharage hakuchukui hahaaa

WEE SOFTNET NI YA MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA OTHMAN YAKUB WADOGO ZAKE NDIO WANA I RUN KWA SASA WANAPENYA KILA MAHALI KWA VI MEMO.LAKINI NI BORA WASWAHILI NAO TULE SIO WAHINDI TUU SOFTTECH COMP CENTRE POWERCOMP.salary vijana wa dot com wanajilipa mafao yao mapema wanakimbia!

Connecting the dots. Wakati wa pilikapilika za uchaguzi kuna mkuu mmoja alisema kuwa katika timu ya watu wa usalama wa taifa ya kuchakachua matokeo huyu Chande wa Maharage alitajwa kama mtaalamu wa IT maalum kwa kazi hiyo. Hapa tunaona tena kampuni inahusishwa na Chande na hapohapo kuna bosi wa usalama wa taifa. Hapa unapata ukweli wa jambo hilo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom