Malipo NBC kwa IT yakoje?

Pale NBC kuana kampuni maalumu imepewa tenda ya kazi zote za IT (IT help desk)
hiyo kampuni inaitwa Infosys.
so kama unataka uajiriwe na NBC ktk kitengo cha IT haiwezekani mpaka uajiriwe na hao Infosys tena inategemea hao infosys watakupangia wapi kwani sio lazma wakupangie NBC.

Si kweli. Infosys hawa deal na kuajiri ni ku connect computer na printer tu. au ku replace old ones with new ones. So hio ndio kazi ya IT tu?? Na kama zawadi wakatoa na lile jengo la Kinokleini kwa NBC kwa kodi kubwaaaaa sana. Hakika ukubwa furaha.

NBC - no bargain no cash!

U bargain na nani? kujuana tu

True
 
Ujanja ni kuwa na softnet, softtech, powercom etc ya kwako. hapo utakula. IT si not a proffesion????. Imevamiwa.
 
Back
Top Bottom