Malipo kwa gari kuukuu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo kwa gari kuukuu.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jamesh, Sep 3, 2010.

 1. Jamesh

  Jamesh Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF, kuna mtu yeyote anafahamu gharama za malipo ya gari (used) baada ya kufika bandarini. Mfano umeagiza used car kutoka Japan ikiwa imekwisha kulipiwa gharama za usafirishaji (freight cost) je kuna gharama gani (iwe ni kwa idadi ya pesa au asilimia) ambazo utatakiwa kulipia ili uweze kuanza kulitumia gari lako?

  Natanguliza shukrani za dhati kwa watakaojitolea kunifahamisha.
   
Loading...