Malipo katika biashara ya barbershop

NEW NOEL

JF-Expert Member
May 21, 2011
863
407
Wadau,

Ninaomba kuuliza namna ambavyo biashara ya barbershop (saloon za kiume za kisasa) inaendeshwa?

Je maelewano kwenye upande wa mmiliki na vinyozi pamoja na wadada wanaofanya scrub, massage n.k inakuwaje?
 
Hiyo biashara ni nzuri sana kwa siku watu wanalaza faida laki 4 na nusu mpaka laki 6
 
Umeona uzi wangu wa vifaa vya saluni? Unajua kama kibaha kuna location ya chuo na watahitajika vinyozi?

Ukitaka kujua kama berbershop kaa mitaa ya uswahilini ni michosho muulize mwanangu Sapari, location iweke K/Koo..... au mijini ambapo watu wataset hata 5000 kwa huduma, apo ume win, hata hivyo ile itakuwa rahisi kwa kama ukawapangia wafanyakazi kiasi unacho kihitaji, kulingana na tathimini y mapato ya siku.
 
Fungua Barbershop kali, Weka viti 4, Panga bei iatakayokupa Kinyozi kwa kila wiki/ Jumapili

Weka na wadada wawili/ Watatu. wawe wanakupa hela kila jpili( dawa zote za saluni ziwe zao) wewe weka vifaa tuu vya kazi
 
Back
Top Bottom