Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Najua sina vigezo vya kupiga kura kwenye huo uchaguzi wa TFF, Ila kama Mheshimiwa Jamal Malinzi Akimrudisha Kim Puolsen Taifa stars, naahidi kumpigia kampeni aendelee na hicho kiti chake.
Haya maswali ya kibabaishaji ya hivi yashapitwa zama zake
Haya maswali ya kibabaishaji ya hivi yashapitwa zama zake
We makinikia ni una Mambo ya kijinga sana, kila Uzi WA mainzi lazima utoe povuu
Wewe Bashite unanipangia nyuzi za kuchangia?We makinikia ni una Mambo ya kijinga sana, kila Uzi WA mainzi lazima utoe povuu
Ataipatapata nini?hayo ni maneno ya kujifariji kwenye vijiwe vya ghahawa hapo Kariakoo na Magomeni.NA ATAIPATAPATA MWAKA HUU
Ok uchaguzi ndio utasema yote..Hamna haja ya kulumbana sanaAtaipatapata nini?hayo ni maneno ya kujifariji kwenye vijiwe vya ghahawa hapo Kariakoo na Magomeni.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Matokeo yakitoka mje hapa hapa na msije na visingizio vingine.Ok uchaguzi ndio utasema yote..Hamna haja ya kulumbana sana
okMatokeo yakitoka mje hapa hapa na msije na visingizio vingine.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kama huendi unadhani huyo Malinzi ataondokaje?siendi
Acha kutumika vibaya wewe mbumbumbu.#Piga_chini_MALINZI_kwa_Uhai_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_Uhai_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_Uhai_wa_SOKA_Letu
#Piga_chini_MALINZI_kwa_Uhai_wa_SOKA_Letu
#Mawazo_huru