Malima kulala chumba cha 400,000/= hii ni nini CCM jitafakarini

....ingekuwa busara kuhoji lengo la hiyo 'hoteli' kuweka rate ya 400,000/- kwa siku
Wamelenga wateja wa aina gani...kisha kumbuka hiyo ni executive suite, all inclusive.
 
Hakika viongozi wetu wanaitaji kuelewa kuwa sasa wananchi wamebadilika, hili la Malima litamkosti tu badaye asitetewe na wanaomtetea nawapa fundisho kuwa just wait soon litamtokea puano, God is there!
 
wakuu vp mmiliki wa hoteli anasema panaibiwa benki sembuse nashera!

Hii kauli ya mmiliki inaipa picha mbaya sana hii hoteli: kuwa hakuna uhakika wa usalama. Asisahau kuwa kauli yake hiyo imeshasambaa ulimwengu mzima na kuna watu wana 'rate' hizo hotel kwa ajili ya wasafiri, k.m. Tripadvisor, Search results: Nashera Hotel, Morogoro - TripAdvisor

Asije shangaa watu wakiandika kuhusu hili tukio na kuipa hotel hiyo sifa mbaya.
 
Inaelekea viongozi hawa wanapokuwa ktk ziara mikoani huwa wanatafuta hotel yenye bei ya juu ndo ufahari wa mswahili na hivi halipi yeye mtajiju
 
mkuu hata kama alienda kikazi tuwe na huruma kidogo na nchi yetu,hiyo ni dalili ya kukosa uzalendo
mkuu director 1 bora uwaambie hawa.....nakumbuka ulianzisha uzi mmoja kumhusu huyu jamaa malima hivi majuzi tu...pale ulipohoji kuhusu capacity yake kiutendaji baaada ya kumwona akiongea...nakumbuka katika kuchangia ile thread....wakati najibu hoja feki ya chupi moja hapo juu inayojiita radhia sweety.....nilikumbushia jinsi ambavyo personal behavior ni kitu muhimu kwa kiongozi ambaye ni kioo cha jamii.....nakumbuka pia kukumbushia uchafu tunaoufahamu kumhusu huyu waziri(personally).....kama mungu alikuwa anasikiliza wala haijapita wiki jamaa anapatikana na huu upuuzi....what a lesson eh!!!!
 
Muda mfupi nilikuwa naongea na jamaayangu aliyeko morogoro, ni kwamba jamaa alikuwa na demu na inaonekana kuwa baada ya kujivinjari kwa round ya kwanza wakatoka kwenda bar inayohudumia upande ule wakati wakiwa pale yule demu inaonekana alimdanganya mh. Kuwa anafuata kitu chumbani frm there demu akaingia chumbani na kilichofuata ni demu kutoa mizigo yote kupitia dirisha na inaonekana alishawapanga watu wa kupokea mizigo na kuiweka kwenye gari lililokuwa karibu na eneo lile! Muda kidogo demu akarudi kuungana na mh. Kiujanja akajifanya anaongea na simu hivyo akataka apate privacy na kusogea mbali na mh kumbe ndio ilikuwa tokomea yake!

Kwa hiyo bwana malima amelizwa na changudoa na si vyinginevyo!
 
Hii kauli ya mmiliki inaipa picha mbaya sana hii hoteli: kuwa hakuna uhakika wa usalama. Asisahau kuwa kauli yake hiyo imeshasambaa ulimwengu mzima na kuna watu wana 'rate' hizo hotel kwa ajili ya wasafiri, k.m. Tripadvisor, Search results: Nashera Hotel, Morogoro - TripAdvisor

Asije shangaa watu wakiandika kuhusu hili tukio na kuipa hotel hiyo sifa mbaya.
huyu mkenya kwanza kapataje hicho cheo hapo? hakuna mtanzania mwenye uwezo wa kuwa meneja wa hoteli?
 
"Aliyeko juu mngoje chini,utangoja milele na utakufa bila kelele,kama walivyokufa wafuasi wa kibwetere" Prof Jay..Bongo Dar es Salaam.
 
Nampa hongera huyo kijana aliejipatia angalau mgao kidogo wa posho za mheshimiwa!na kama yupo hapa mimi nahitaji hiyo laptop kubwa sio kadogo kwa garama yoyote!

Sio kijana ni changu.
Hebu angalia amzingira yenyewe: wewe unaamini kijana aingie chumbani na kukuta hizo bunduku aache has ukitegemea kuwa hiyo AK47 ni mtaji????
 
Hao ndio viongozi waTZ wanaotoa kauli bila kujali hali za wananchi wanaowaongoza.Kweli $4,000/= ni vipesa vidogo?
 
Hawa wanaojiita waheshimiwa km Adam malima kutumia kodi zetu vibaya nama hii na kujipangia safari na kulala kwenye vyumba vya gharama namna hii na mahospitali yetu hayana madawa hivi wanatuonaje sisi?

Mbaya zaidi dola 4,000/= anaita vijihela eti vya matumizi madogomadogo
SLAA analipwa mil.12 kwa mwezi siyo mbunge, siyo waziri siku akiwa Rais itakuaje?
 
Back
Top Bottom