Malima amewajibu Mwanahalisi?

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,083
5,066
Gazeti la Mwanahalisi liliweka scanned document ikionyesha Hoteli aliyofika Malima huko south na jina likiwa limebadilika.
Je Malima ame respond popote tangu kutoka gazeti,naomba mnijuze
 
alitakiwa kukataa hayo madai lakini kwa sababu kuna elements za 'ndiyo', kimya ahumaanisha kukubali!
 
hajajibu Mpwa, kwani kuna cha kujibu pale, facts zote ziewekwa peupe, sasa ajibu nini tena si atakua anadanganya? hata simu hakupokea na sms hakujibu....
 
ndio hivyo ukweli tu,mwanahalisi wakiandika jeuri ya kukanusha hakuna labda aende mahakamani kujisafisha....................................
 
ninalipenda gazeti la mwanahalisi kwasababu linatoa facts. nawapongeza wanaotoa habari (source).
 
Kama kweli hajajibu vipi tutamuamini na mpango wa dharura wa umeme ambamo kutakuwa na kandarasi nyingi,tupo serious kweli?
 
hao nao wababaishaji
Gazeti la Mwanahalisi liliweka scanned document ikionyesha Hoteli aliyofika Malima huko south na jina likiwa limebadilika.
Je Malima ame respond popote tangu kutoka gazeti,naomba mnijuze
 
Back
Top Bottom