Maliim seif wapi kauli yako

Maalim anaondoka Cuf vipi ahadi yake ya muda si punde ataapishwa au ataapishwa akiwa ACT ili awapatie Wazanzibar Mamlaka kamili na yeye kuwa Amirijeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Wazanzibari waliweza piga kura za maruhani, walikimbilia Mombasa, waliwachinja Polisi barabarani ni tofauti kabisa na waBara wao wakiambiwa itakuwa Nchi ya Vi wonder wao twende tu
wao Malengo yao yapo kwa Maalim hakuna mwingine
 
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...


Sent using Jamii Forums mobile app
Umelew mataputapu ya Lumumba? kenge we!
 
Back
Top Bottom