Maliim seif wapi kauli yako

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude una hoja nyepesi sana. Kwa akili yako ulidhani serikali inayoongozwa na ccm ingekubali kirahis hivyo? Hata kama alishinda kwa kura?

Jecha umemsahau?
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Tara tararaa tara Zilipendwa...tantara blalabla Zilipendwa..

Mkuu nyimbo inayo hit kwenye radio na mitandaoni kwa sasa ni "Atakapokwenda na sisi tutakwenda",mtunzi wa nyimbo hii ni Zitto Kabwe na Maalim Seif,ikioongozwa na Bendi ya ACT
 
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Maalimu hajastaafu siasa malengo yake bado yale yale.
 
Wafuasi wa Upinzani Tz ni jamii mojawapo ya misukule ambayo haiwezi kuhoji wala kuwakumbusha Viongozi wao juu ya ahadi zao za kilaghai, hivyo Viongozi wao wanatumia Turufu hiyo kuwaswaga wapendavyo. Maalim akawalaghai kuwa anaenda Ulaya kufata uhuru wa Zenji kama Mwl Nyerere alivyofuata Uhuru wa Tanganyika USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maamuzi hayo kutungiwa nyimbo kuimbishwa kupigiwa ngoma na kucheza utegemee mabadiliko yakweli kisa usiwakumbushe kauli za kebehi...
Tara tararaa tara Zilipendwa...tantara blalabla Zilipendwa..

Mkuu nyinmbo inayo hit kwenye radio na mitandaoni kwa sasa ni "Atakapokwenda na sisi tutakwenda",mtunzi wa nyimbo hii ni Zitto Kabwe na Maalim Seif,ikioongozwa na Bendi ya ACT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wafuasi wa Upinzani Tz ni jamii mojawapo ya misukule ambayo haiwezi kuhoji wala kuwakumbusha Viongozi wao juu ya ahadi zao za kilaghai, hivyo Viongozi wao wanatumia Turufu hiyo kuwaswaga wapendavyo. Maalim akawalaghai kuwa anaenda Ulaya kufata uhuru wa Zenji kama Mwl Nyerere alivyofuata Uhuru wa Tanganyika USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wafuasi wa upinzani ni misukule basi wale wa CCM ni Mazombi kabisa,Hivi kuna wanasiasa nchi hii walaghai kama CCM?,Wamewalaghai wafuasi wao na wananchi kwa ujumla kwa zaidi ya miaka 50 na ahadi za kuleta maendeleo zisizotekelezwa.mpaka leo nchi iko kwenye 10 bora ya nchi masikini.Mwenyekiti wao ndio bingwa wa uongo,anafanya ulaghai live on national television bila soni wala haya.

Wakati mwingine ndoto huziweka kwenye hali hakisi..
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuliwahi masikia zaid ya mara 2 kuwa ndani ya miezi 3 atakabidhiwa Mamlaka ya Zanzibar na kumpokonya aliyepo rais Dr Shen jana na leo kabadili gia anagani! Hizo harakati zilikua za kuwahadaa wafuasi ili wasifuatilie haki yako kwa nguvu ya uma? Maalim seif ulituhakikishia kwamba nchi utakabidhiwa, leo kulikoni hizo kauli zako kweli nyinyi wanasiasa ni majanga kwa uhai wa watu wanaowapigania....mkijaza mitumbo yenu mnabadilika hamfai kwa kheri wala shari hufai hata kuombewa hiyo safari yako ya mabadiliko..utawahadaa tena wafuasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unachosema ni kweli, lakini HOJA yako hapa ni ipi, maana ubabe wa Serikali kwa kukiuka sheria na katiba unajulikana. Hiyo kauli ya Maalim Seif ilikuwa ni TAUNT ya kisiasa, na imefanikiwa. UPO HAPO? serikali ya CCM inajitia kitanzi kwa kufanya maovu ambayo yanaiabisha mbele ya jumuiya ya kimataifa na hilo ni wazi. kwa nchi inayotegemea bado misaada ya nje, kuporomoka kwa misaada hiyo kwa maana ya Grants, Concessional Loans na michango mingine ya wadau, ni pigo kubwa. athari zake zitaonekana muda unavyokwenda. Lakini kwa hapa ndani, CCM haina ubavu wa kuitisha uchaguzi huru, si Visiwani tu lakini hata huku bara kwa sasa. hiyo nayo ni Equation nyingine ambayo mwendelezo wake si mzuri kwa CCM.
 
Wafuasi wa Upinzani Tz ni jamii mojawapo ya misukule ambayo haiwezi kuhoji wala kuwakumbusha Viongozi wao juu ya ahadi zao za kilaghai, hivyo Viongozi wao wanatumia Turufu hiyo kuwaswaga wapendavyo. Maalim akawalaghai kuwa anaenda Ulaya kufata uhuru wa Zenji kama Mwl Nyerere alivyofuata Uhuru wa Tanganyika USA

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama watanzania walivyombiwa TZ ya viwanda wakaamini, kumbe ni ya kuua kilimo ili na viwanda navyo vife.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Z
Maalim anaondoka Cuf vipi ahadi yake ya muda si punde ataapishwa au ataapishwa akiwa ACT ili awapatie Wazanzibar Mamlaka kamili na yeye kuwa Amirijeshi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyimbo ya "sipunde ataapishwa" hiyo nyimbo Zilipendwa...nyimbo mpya kwa sasa" tuko nae popote anapokwenda"

Mipango yenu imekuwa muflisi,waswahili wanasema "ukiujua huu wenzio waujua huu..."
 
Jecha salim jecha.
nadhani ungehoji kwanza kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi Zanzibar.
Pili ungehoji yule aliyeandika barua ya kujiuzulu baadae akageuka
Asubuhi njema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom