Mali zenye thamani ya Tsh. Bilioni 1.2 za Wakili Median Mwale zataifishwa rasmi na Serikali

Saizi ungezitapika mkuu ha ha ha ha ha ha ha
Aise yaani sijui ingekuwaje nikiwa pale ICTR mahakama ya rwanda ,huyu bwana alitaka IT officer maslahi yalikuwa mazuri ila sikuona feature yoyote kwake kumbe ningezitapika hata mshahara
 
Alafu huyu wakili ni bingwa wa kutetea chadema
Sijawahi kumuona mtu kilaza kama wewe
Tangu ulipopigwa mimba na wana cdm basi jina cdm limegandia mdomoni mwako!
Utajifungua lini ili tuwe na amani?
 
H
Sijui nyinyi mkoje mnakera kupita maelezo . Yani tangu muende kupima DNA na mke wako nakukuta watoto wote watano uliodhani mda wote huo ni wa kwako kumbe wa Mbowe unamalizia hasira zako kwa chadema na Mbowe kwa kutumia Id tofauti mara ndegejoni mara thetallest

Mbaaff
Huyo jamaa ni mpumbavu sana yaani
 
Hizo dollar milioni 17.2 za marekani waliiba kwa kughushi cheque ama waliibaje?
 
Aise yaani sijui ingekuwaje nikiwa pale ICTR mahakama ya rwanda ,huyu bwana alitaka IT officer maslahi yalikuwa mazuri ila sikuona feature yoyote kwake kumbe ningezitapika hata mshahara
Mkuu manyoka huwa hawaelewi hayo wangekusumbua sana alafu wangejua unajua mengi yani hadi waje kujua wewe mweupe ushaumia
 
Katika hali ya jicho la tatu nikwamba hapo wakili kashinda kesi, manake B1 kwa huyu jamaa is nothing, kwa hio mchezo kwamba serikal wametaifisha mali zake they played clever..kwa wanaomjua hizo ndio mali zake??
Serikali imetaifisha rasimi Mali za Wakili maarufu Nchini Median Mwale zenye thamani ya sh,bilioni 1.2 zilizotokana na zao la utakatishaji mara baada ya mahakama kuu kumtia hatiani na kuamuru Mali hizo zitaifishwe.

Akiongea katika zoezi la makabidhiano kati ya ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka DPP na Hazina,Mkurugenzi wa Mashtaka , (ASP )Biswalo Mganga alizitaja Mali hizo kuwa ni pamoja na Magari sita ya kifahari yanayoshikiliwa kituo kikuu cha polisi,jijini hapa.

Mali zingine zilizotaifishwa ni pamoja na Nyumba mbili ikiwemo iliyopo ploti Namba 261 block c Njiro na nyumba nyingine iliyopo ploti namba 22 iliyopo eneo la Ilikyurei ambayo ilikuwa mali ya Wakili Loomo Ojale na shamba moja la ekari 10 lililopo eneo la Ngaramtoni.

Alisema hatua hiyo imekuja kufuatia mahakama kuu kanda ya Arusha,kutaifisha Mali hizo na kwamba April 14,2019 mahakama hiyo ilitoa kibali cha kuzitaifisha rasimi na kuwa Mali ya serikali.

"Kwa mujibu wa sheria Mali zinapotaifishwa kuwa Mali ya serikali zinakuwa chini ya katibu mkuu Hazina" Alisema.

Naye kaimu mkurugenzi wa idara ya usimamizi wa Mali za serikali Hazina,Benezeth Rutta Alisema kuwa Mali hizo baada ya kukabidhiwa kutoka kwa DPP zinakuwa chini ya uangalizi wa wizara ya fedha zinapangwa kadri serikali itakavyoona inafaa.

"Mali hizi Mara baada ya kukabidhiwa serikalini zitapangiwa matumizi kadri serikali itakavyoona inafaa na kama itaonekana Mali hizo hazifai kwa matumizi ya serikali zitauzwa kwa mnada" Alisema Rutha.

Kwa upande wake kamishina msaidizi wa jeshi la Polisi ,Selemani Nyakulinga Alisema Alisema kuwa mwaka 2011 alipata taarifa kutoka kitengo cha udhibiti wa fedha haramu kuwa kuna watu waligushi na kutaka kuiba fedha dolla la marekani milioni 17.2 kutoka mfuko wa global fund kwa ajili ya kusaidia kutibu malaria na HIV Nchini Tanzania zikitoka kwenye Hazina ya nchi ya Marekani.

Alisema walibaini kuwa waliohusika na wizi huo ni RAIA wa Kenya wakishirikiana na watanzania akiwemo Wakili Median Mwale .

Alisema baada ya kufuatilia walifanikiwa kuwatia mbaroni wahusika wote na baadae mahakama ilibaini kuwa wahusika walishanunua Mali mbalimbali zilizotokana na zao la utakatishaji wa fedha hizo na mahakama iliamuti na kutaifisha Mali hizo kuwa mali za serikali.

View attachment 1088100View attachment 1088102View attachment 1088104View attachment 1088105
 
Mbona sioni hizi mali zenye thamani ya 1bilioni na chenji. Hizi siasa za msimu huu zinatia ukakasi.
 
Katika hali ya jicho la tatu nikwamba hapo wakili kashinda kesi, manake B1 kwa huyu jamaa is nothing, kwa hio mchezo kwamba serikal wametaifisha mali zake they played clever..kwa wanaomjua hizo ndio mali zake??
Kashinda wapi. huyu jamaa alikamatwa enzi za kikwete na account zake zote zilikuwa ceased ndioma maana hakuchomoka. na alikuwa jela mda wote huo kama sikose. walimlia timing moja matata kwahiyo hakuweza hata kubakisha hata centi.
 
Namkumbuka sana Mwale tulisali kanisa moja arusha hizo sadaka yeye alikuwa anatoa maburungutu ya hela,mpaka nikajiuliza huyu ni advocate anapata wapi hela na ilikuwa kidogo tuwe close,thanks God
Na huko ndio money laundering ipo kwa sana
 
Serikali imetaifisha rasimi Mali za Wakili maarufu Nchini Median Mwale zenye thamani ya sh,bilioni 1.2 zilizotokana na zao la utakatishaji mara baada ya mahakama kuu kumtia hatiani na kuamuru Mali hizo zitaifishwe.

Akiongea katika zoezi la makabidhiano kati ya ofisi ya Mkurugenzi wa mashtaka DPP na Hazina,Mkurugenzi wa Mashtaka , (ASP )Biswalo Mganga alizitaja Mali hizo kuwa ni pamoja na Magari sita ya kifahari yanayoshikiliwa kituo kikuu cha polisi,jijini hapa.

Mali zingine zilizotaifishwa ni pamoja na Nyumba mbili ikiwemo iliyopo ploti Namba 261 block c Njiro na nyumba nyingine iliyopo ploti namba 22 iliyopo eneo la Ilikyurei ambayo ilikuwa mali ya Wakili Loomo Ojale na shamba moja la ekari 10 lililopo eneo la Ngaramtoni.

Alisema hatua hiyo imekuja kufuatia mahakama kuu kanda ya Arusha,kutaifisha Mali hizo na kwamba April 14,2019 mahakama hiyo ilitoa kibali cha kuzitaifisha rasimi na kuwa Mali ya serikali.

"Kwa mujibu wa sheria Mali zinapotaifishwa kuwa Mali ya serikali zinakuwa chini ya katibu mkuu Hazina" Alisema.

Naye kaimu mkurugenzi wa idara ya usimamizi wa Mali za serikali Hazina,Benezeth Rutta Alisema kuwa Mali hizo baada ya kukabidhiwa kutoka kwa DPP zinakuwa chini ya uangalizi wa wizara ya fedha zinapangwa kadri serikali itakavyoona inafaa.

"Mali hizi Mara baada ya kukabidhiwa serikalini zitapangiwa matumizi kadri serikali itakavyoona inafaa na kama itaonekana Mali hizo hazifai kwa matumizi ya serikali zitauzwa kwa mnada" Alisema Rutha.

Kwa upande wake kamishina msaidizi wa jeshi la Polisi ,Selemani Nyakulinga Alisema Alisema kuwa mwaka 2011 alipata taarifa kutoka kitengo cha udhibiti wa fedha haramu kuwa kuna watu waligushi na kutaka kuiba fedha dolla la marekani milioni 17.2 kutoka mfuko wa global fund kwa ajili ya kusaidia kutibu malaria na HIV Nchini Tanzania zikitoka kwenye Hazina ya nchi ya Marekani.

Alisema walibaini kuwa waliohusika na wizi huo ni RAIA wa Kenya wakishirikiana na watanzania akiwemo Wakili Median Mwale .

Alisema baada ya kufuatilia walifanikiwa kuwatia mbaroni wahusika wote na baadae mahakama ilibaini kuwa wahusika walishanunua Mali mbalimbali zilizotokana na zao la utakatishaji wa fedha hizo na mahakama iliamuti na kutaifisha Mali hizo kuwa mali za serikali.

View attachment 1088100View attachment 1088102View attachment 1088104View attachment 1088105
Huyu wakili wanadai alitaka kuiba hizo hela,sasa wakampa kesi miaka 8 bila kusikiliza ili akubali makosa halafu wanataifisha mali yake yote ambayo hiyo hela hajachukua,sasa hapo ndiyo utaona shida iko wapi,unapewa kesi ya kutaka kuiba halafu unakaandani hadi ukubali ili ufilisiwe.
 
Back
Top Bottom