Mali za taasisi za umma hatarini kunadiwa TRA, zimo pia za Bakhresa, Fast jet na Zantel

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Gazeti makini Hapa nchi linalipoti kuwa Mali za taasisi mbalimbali ziko hatarini kunadiwa na TRA. wametaja pia Zimo za Bakhresa, Fast jet, Zantel na Benji ya Baroda

Hapa ni kazi tu na Hakika tuko kazini, Mungu ibariki Tanzania ya Viwanda Mungu ibariki Afrika! Amen!!!!!

chanzo: gazeti makiniLA Tanzania Daima
 
Back
Top Bottom