Mali za Mrema wa Naura Springs na Impala kupigwa bei kulipa madeni ya wafanyakazi na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii

Ndio! Halafu kitu kingine ambacho nimeona watu wengi hawakielewi ni uwepo wa SERIKALI!

SERIKALI ipo kila mahala na SERIKALI inafanya BIASHARA zote hadi WAUZA QUQU WA SERIKALI na wenyewe pia wapo.

Sema hauwezi kuiona moja kwa moja kama unavyoona magari yaliyoandikwa STK au STJ ndio uelewe kuwa ni SERIKALI. Kuna namna yake.

Na namna yake ni jinsi ambavyo SERIKALI inavyowatumia watu BINAFSI kwenye kufanya BIASHARA. BIASHARA inaweza kuwa ni yoyote ile hata BODABODA ZA SERIKALI pia zipo.

Na huwa kuna mchakato kabisa wa kuwapata hawa WAFANYA BIASHARA watakao kuwa wanafanya BIASHARA ZA SERIKALI. Huo mchakato upo na kuna masharti yake.

Ndio maana unakuta kuna baadhi ya WAFANYA BIASHARA wanamiliki miradi mikubwa lakini mwisho wa siku unakuta hawana kitu. Hapo ndio wamiliki halali wanakuwa wamebeba vitu vilivyo vyao.
Naanza kuelewa kwa mbaali
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom