Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Hahahahahahaha boss sio kwa hasira hizi taratibu
Hivi vidada vinakera mno dadaangu. Nakumbuka tulipofika darasa la nne mama akaanza kutufundisha kupika, kufua, kupiga deki na kuosha vyombo mimi na kaka zangu watatu. Tulinyooka mbona, mzee yeye zake zilikuwa ni safari tu za kikazi, akiwa home wote tunajua baba yupo ila stering ni mama. Hatukuwahi kuona mama akimdharau baba na mpaka leo mimi kazi za ndani huniambii kitu.
Ilikuwa tushapangiwa ratiba ya kila siku na mama, tukitoka shule ni twisheni, tukitoka twisheni ni kanisani mafundisho, tukimaliza mafundisho kurudi nyumbani mapemaa, hapo kama ni zamu yako kupika unakaa jikoni, haina nini wala nini labda siku hiyo unaumwa.

Nakumbuka kuna siku tumetoka shule tukawa tunakula, sasa bro aliyekuwa ana zamu ya kutoa vyombo akawa kamaliza kula kaenda kuoga ili awahi twit, mimi na mshikaji wangu siku hiyo kapita hom tumemaliza si nikaacha vyombo mezani bro hajamaliza kuoga, mama kuingia ndani akakuta vyombo mezani akauliza, nani kamaliza kula vyombo kaviacha hapa!? Nikamjibu ni zamu ya fulani kutoa, nikamtaja broo
Bi mkubwa akaja ananiuliza, unasemaje!? Nikamjibu tena, akanambia njoo utoe vyombo pumbavu we, yaani mwenzio akamalize kuoga ndio aje atoe vyombo na nyinyi mlikuwa mezani!? Adabu ya wapi hiyo!? Nikajifanya kama kugoma hivi, weeeeeeeee! Kilifuata kipigo heavy acha kabisa, hiyo tupo darasa la sita. Nilivitoa na kipigo sitosahau, tangu siku hiyo hata kama ni zamu ya mtu au mtu anatakiwa alifanye lile jambo na halina madhara nikifanya mimi, sisubiri aje mhusika nitalifanya tu, as long as halitaathiri utaratibu.
 
Nimemkubali bi mkubwa wako aisee. Na wewe si unaona sasa kwamba kitendo cha yeye kua strict kimekunufaisha na kukufanya uwe mtu mwenye maadili mema na mwenye uwezo wa kujitegemea?
 
Hahahahahahaha hatari tuliolelewa na wamama wakuda acha tuseme tu mama ndie mwenye uwezo wa kulemaza au kumfanya mtoto awe vizuri

Hii ndio sababu moja wapo iliyo changia 'Jamii kuwa na watu kama kina amber rutty. Mariam birian. Juma okelo. Na vijana wengine wanaoshinda mitandaoni na kutukana watu matusi mazito mazito na kashfa juu Wema sepetu akiwa ni moja ya product ya malezi ya aina hiyo "

Jamii inapokuwa na majority kubwa ya watu wenye Tabia hizo. ..Taifa linaingia kwenye dosari kubwa na hatimae Lita onekana kuwa ni Taifa la watu wa hovyo ..wasiojua mantiki ya ustaarabu
Nimecheka sana eti juma okelo inamaana juma lokole ni mjaluo
 
Nikikumbuka kipigo alichokuwa ananipa mama yangu mpaka leo nacheka na kumshukuru sana kama kaka mkubwa kipigo kile kilinisaidia kufuata njia inayofaa na wadogo zangu wakaniiga. Kosa lolote liwe dogo au kubwa nilitandikwa sana na mama, kuchapwa malapa ya usoni kama yote, baba yeye alikuwa hapigi mara kwa mara ila akifikishiwa kesi na mama jiandae kufa. Alikuwa na waya huo wa umeme acha kabisa.
Umenikumbusha mbali. Mshua ye alikuwa ni mzee wa final touch. Sinema lake linaanza anakutuma wewe mwenyewe ukajitafutie fimbo ukileta isiyonona unarudishwa tena. Ukipata hicho kipigo unasikilizia mwaka mzima.
 
Viboko vinafundisha sana tena saaana
Mkuu Mimi ni baba wa mtoto mmoja kiukweli sijawai inua fimbo kumtandika mtoto wangu nadhani kutokana na umri niliompata kwani nilimpata nikiwa na miaka 19 na kwa Sasa na miaka 27 na namwona ni mtoto anaye kua akijua kwa Nini hili asifanye na madhara yake Ni Nini akifanya na amekua muwazi kwangu balaa Yani haniogopi kunambia chochote kinachomkuta ifike mahali viboko vimwongoze punda tuuh
 
Hivi vidada vinakera mno dadaangu. Nakumbuka tulipofika darasa la nne mama akaanza kutufundisha kupika, kufua, kupiga deki na kuosha vyombo mimi na kaka zangu watatu. Tulinyooka mbona, mzee yeye zake zilikuwa ni safari tu za kikazi, akiwa home wote tunajua baba yupo ila stering ni mama. Hatukuwahi kuona mama akimdharau baba na mpaka leo mimi kazi za ndani huniambii kitu.
Ilikuwa tushapangiwa ratiba ya kila siku na mama, tukitoka shule ni twisheni, tukitoka twisheni ni kanisani mafundisho, tukimaliza mafundisho kurudi nyumbani mapemaa, hapo kama ni zamu yako kupika unakaa jikoni, haina nini wala nini labda siku hiyo unaumwa.

Nakumbuka kuna siku tumetoka shule tukawa tunakula, sasa bro aliyekuwa ana zamu ya kutoa vyombo akawa kamaliza kula kaenda kuoga ili awahi twit, mimi na mshikaji wangu siku hiyo kapita hom tumemaliza si nikaacha vyombo mezani bro hajamaliza kuoga, mama kuingia ndani akakuta vyombo mezani akauliza, nani kamaliza kula vyombo kaviacha hapa!? Nikamjibu ni zamu ya fulani kutoa, nikamtaja broo
Bi mkubwa akaja ananiuliza, unasemaje!? Nikamjibu tena, akanambia njoo utoe vyombo pumbavu we, yaani mwenzio akamalize kuoga ndio aje atoe vyombo na nyinyi mlikuwa mezani!? Adabu ya wapi hiyo!? Nikajifanya kama kugoma hivi, weeeeeeeee! Kilifuata kipigo heavy acha kabisa, hiyo tupo darasa la sita. Nilivitoa na kipigo sitosahau, tangu siku hiyo hata kama ni zamu ya mtu au mtu anatakiwa alifanye lile jambo na halina madhara nikifanya mimi, sisubiri aje mhusika nitalifanya tu, as long as halitaathiri utaratibu.
Ulichopitia ndicho nilichopitia, hakuna kazi ambazo mpaka sasa za ndani nitashindwa.Hii husaidia sana kwa watoto wa kiume kama utapitishwa mazingira yote ya ndani ya nyumba.

Nyakati za ukuaji kuna topic home ilikuwa ni muhimu sana ya kujifahamu maumbile yako na mahitaji yako.
Kuheshimu watu na kuelewa maana ya utofauti kwa kila mtu.
Tukiwa na umri mdogo kabisa tuliweza kuagizwa sehemu mbali mbali na muda mwingine kutoa maamuzi flani kwa kushirikishwa na yakaleta faida kwa familia.
Kujengewa uwezo wa kujiamini na kushiriki kwa nidhamu katika jamii iliyotuzunguka..kuna mengi sana na tunashukuru sana wazazi kwa mapenzi yale...leo ndio unaona matunda yake.

Ulimwengu huu wa kisasa sisi ndio tuna utafsiri vibaya sana tunaacha faida nyingi sana tunachukua ujinga ujinga.
 
Na kipigo cha miaka hiyo ndicho kimepelekea utumwa kwa nchi zetu.

Sijawahi kuona wanyama wakipiga watoto wao. Kwanini wewe binadamu mwenye akili upige mtoto?

Mtoto hanyooshwi kwa kipigo. Bali maelekezo na mafundisho yaliyoambatana na kuona. Yaani mtoto anachoelekezwa ndicho anachopaswa kukiona kwenye jamii.

Nje ya hapo, ni kuumizana na kutiana uoga
Jumapili iliyopita nilihudhuria kwenye msiba wa ndugu wa rafiki yangu, Miongoni mwa waombolezaji alikua dada mmoja mwenye miaka kama 26-30, alikuwa na mwanae wa kama miaka minne hivi

Sijui ilikuaje lakini mara yule dogo akaanza kulia na kisha kumvurumishia ngumi na mateke mama yake. Mama mtu akabakia kusema tu " Brian stooop banaa". Mpaka mama mmoja alipokuja akamwambia hiyo ni aibu mwanao hata kama ni mdogo unamuachia akupige hivyo hebu ingieni kule chumbani mkabembelezane

Watoto wote wadogo sio ajabu kuwa na utundu lakini utundu mwingine nahisi kama ni wa kukosa adabu na unaendekezwa na wazazi hasa wakike.

Nimewahi kushuhudia mtoto wa chini ya miaka mitano akiipasua simu ya mama yake kwa makusudi kwa kuibamiza chini na mama mtu anasema "mmmh leo sijui kakasirika nini huyu!" halafu akaanza kumbembeleza!

Kuna mtoto wa shangazi yangu aliwahi kumtupia usoni mfuko wa chips mama yake baada ya kugundua alicholetewa sio alichomuagiza wakati anaenda kazini!

Hapo kwenye msiba baada ya tukio la huyo mama na mtoto watu walisema mengi sana kuhusu dosari za kimalezi za wazazi wa kike wa siku hizi. Kuna mzee mmoja akawa anasema dunia inavokwenda huko baadae hayo mapenzi ya mama na mwana yanaweza kufikia hatua ya aibu zaidi hata mama "kumuonjesha" mwanae atakapo balehe

Sina hakika kama haya mambo ya kudekeza watoto kiasi hiki yalikuwepo zamani ila nahisi mengine ni kuwapotosha watoto kwa kuwapa malezi yasiyofaa.
 
Mkuu Mimi ni baba wa mtoto mmoja kiukweli sijawai inua fimbo kumtandika mtoto wangu nadhani kutokana na umri niliompata kwani nilimpata nikiwa na miaka 19 na kwa Sasa na miaka 27 na namwona ni mtoto anaye kua akijua kwa Nini hili asifanye na madhara yake Ni Nini akifanya na amekua muwazi kwangu balaa Yani haniogopi kunambia chochote kinachomkuta ifike mahali viboko vimwongoze punda tuuh
Aisee hongera ila kuna wale watoto bila kiboko hawaendi sema labda vitumike kias...kuna watoto wa ndugu yangu mmoja hadi naona huruma ana watoto watatu hawa wawil wakubwa wa kiume miaka 11 na mwingine miaka 8 ni watukutu sijaona yaan bila fimbo wale watoto hawaendi.
 
Ulichopitia ndicho nilichopitia, hakuna kazi ambazo mpaka sasa za ndani nitashindwa.Hii husaidia sana kwa watoto wa kiume kama utapitishwa mazingira yote ya ndani ya nyumba.

Nyakati za ukuaji kuna topic home ilikuwa ni muhimu sana ya kujifahamu maumbile yako na mahitaji yako.
Kuheshimu watu na kuelewa maana ya utofauti kwa kila mtu.
Tukiwa na umri mdogo kabisa tuliweza kuagizwa sehemu mbali mbali na muda mwingine kutoa maamuzi flani kwa kushirikishwa na yakaleta faida kwa familia.
Kujengewa uwezo wa kujiamini na kushiriki kwa nidhamu katika jamii iliyotuzunguka..kuna mengi sana na tunashukuru sana wazazi kwa mapenzi yale...leo ndio unaona matunda yake.

Ulimwengu huu wa kisasa sisi ndio tuna utafsiri vibaya sana tunaacha faida nyingi sana tunachukua ujinga ujinga.
Hom tuliwahi kuishi na watu baki tu ila hakuna aliyewahi kuinua mdomo kumwambia mtu kuwa Ondoka hapa sio kwenu wala kukataa kutumwa na wale tuliokuwa tunaishi nao.
Niliwahi kuambiwa na mtoto wa baba mdogo kuwa ung'ang'ania na wewe upewe, kwani hapa kwenu, si uende kwenu. Nilikwenda kwao xmas moja hivi nikiwa mdogo, roho iliniuma mno siku hiyo, mama mtu alisikia vizuri yale maneno ila akakausha tu
 
Malezi yamekuwa ni tatizo kubwa sana kwa sasa. Dunia inashangaza sana.

Nna bro wangu ana watoto watatu, wakike wawili na kiume mmoja ambaye ndio wa mwisho. Kiumri wa kwanza ana miaka 22 kwa sasa, wa pili 20, na huyu wa mwisho ambaye ni wa kiume ana 17.

Sasa juzi umeme ulikuwa umekatika ile usiku. Toto la kiume linaogopa kulala pekeake na hilo giza, bila aibu likaenda kulala chumbani kwa dada zake, na wao bila aibu wakalikaribisha.

Hivi hawa kesho wakiwa akina mama watakuwa ni mama wa aina gani ? Na huyu jamaa atakuja kuwa baba wa aina gani kama kwa umri wa miaka 17 haweze kulala pekeake umeme ukikatika.
 
Hahahahahahaha hatari tuliolelewa na wamama wakuda acha tuseme tu mama ndie mwenye uwezo wa kulemaza au kumfanya mtoto awe vizuri
Hakika
Hapo hapo, mama alikuja kumdekeza dogo anaenifuata leo hii ni bomu la hatari, na huwa tunamwambia kabisa kwa huyo uliyataka mwenyewe wewe hangaika nae mwenyewe sababu yule dogo hawezi kwenda kuishi kwa mtu.
 
Nimemkubali bi mkubwa wako aisee. Na wewe si unaona sasa kwamba kitendo cha yeye kua strict kimekunufaisha na kukufanya uwe mtu mwenye maadili mema na mwenye uwezo wa kujitegemea?
Kabisa kaka, ninaweza kuishi popote pale na yeyote yule. Hakuna siku nimekaa nikayajutia yale maisha alotufundisha. Huwa wakija wadada au washkaji kwangu, napika mwenyewe, mtu anauliza huwa unapika au una mtu huwa anakupikia!? Nikisema napika mwenyewe watu wanashangaa, mimi samaki nakaanga mwenyewe nikitaka, ugali naupika wa kisukuma ulioiva, wali si kwenye mkaa, gesi au jiko la mafuta ama rice cooker kote napika
 
Back
Top Bottom