AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,536
- 4,513
Ndio hivyo...tuifundishe dunia namna bora ya malezi...Eeeh boss tumefika pm tena
Ndio hivyo...tuifundishe dunia namna bora ya malezi...Eeeh boss tumefika pm tena
Wewe junior weweJumapili iliyopita nilihudhuria kwenye msiba wa ndugu wa rafiki yangu, Miongoni mwa waombolezaji alikua dada mmoja mwenye miaka kama 26-30, alikuwa na mwanae wa kama miaka minne hivi
Sijui ilikuaje lakini mara yule dogo akaanza kulia na kisha kumvurumishia ngumi na mateke mama yake. Mama mtu akabakia kusema tu " Brian stooop banaa". Mpaka mama mmoja alipokuja akamwambia hiyo ni aibu mwanao hata kama ni mdogo unamuachia akupige hivyo hebu ingieni kule chumbani mkabembelezane
Watoto wote wadogo sio ajabu kuwa na utundu lakini utundu mwingine nahisi kama ni wa kukosa adabu na unaendekezwa na wazazi hasa wakike.
Nimewahi kushuhudia mtoto wa chini ya miaka mitano akiipasua simu ya mama yake kwa makusudi kwa kuibamiza chini na mama mtu anasema "mmmh leo sijui kakasirika nini huyu!" halafu akaanza kumbembeleza!
Kuna mtoto wa shangazi yangu aliwahi kumtupia usoni mfuko wa chips mama yake baada ya kugundua alicholetewa sio alichomuagiza wakati anaenda kazini!
Hapo kwenye msiba baada ya tukio la huyo mama na mtoto watu walisema mengi sana kuhusu dosari za kimalezi za wazazi wa kike wa siku hizi. Kuna mzee mmoja akawa anasema dunia inavokwenda huko baadae hayo mapenzi ya mama na mwana yanaweza kufikia hatua ya aibu zaidi hata mama "kumuonjesha" mwanae atakapo balehe
Sina hakika kama haya mambo ya kudekeza watoto kiasi hiki yalikuwepo zamani ila nahisi mengine ni kuwapotosha watoto kwa kuwapa malezi yasiyofaa.
hahah mama yako ni typically mama wa kiafrika. Hawapendagi utoto ila cha ajabu wewe utamlea mtoto kizembe utadhani huelewi nini kinatakiwa
Ningemshushia konzi la abuja
Ndio hivyo...tuifundishe dunia namna bora ya malezi...
Zamani ukienda na mama sehemu...akakuacha hapo akakwambia usiende mahali nisubiri hapahapa...husogei sehem mpaka atakukuta...
Unamfinya mdomo wake au unafinya sikioKonzi ni fujo isioumiza ikibidi ntamkata bao
Ukuje tuijenge dunia bora yenye maadili bora...nikikufundisha dini nitakuwa na imani kbs elimu itafika kwa mwanangu...
Wewe ndo wa kulea aisee...ila huwaga mnabadilika mkipata watoto wenu...mnazidisha mahaba...Unamfinya mdomo wake au unafinya sikio
Wewe ndo wa kulea aisee...ila huwaga mnabadilika mkipata watoto wenu...mnazidisha mahaba...
Eeeh dini gani tenaUkuje tuijenge dunia bora yenye maadili bora...nikikufundisha dini nitakuwa na imani kbs elimu itafika kwa mwanangu...
Kina mama Junior shida kwakweli mkuuWewe junior wewe
Kuna wadada hapo juu wanauliza malezi ya familia ni ya mama pekee!? Nataka niwajibu kama ifuatavyo na hiyo ndiyo Asili ilivyo.
Familia bora inajengwa na Mama
Familia mbovu inajengwa na mama vile vile.
Watoto Imara wanajengwa na Mama
Watoto legevu na Wapumbavu wanajengwa na mama vile vile
Rejea utotoni ni mara ngapi umeishi na mama na alikuwa akikupa mafunzo gani! Rejea Biblia kitabu cha Mithali
Mwana mwenye Hekima humfurahisha Babae bali Mwana Mpumbavu ni mzigo wa *****
Biblia pia imeandika Mwanamke Mpumbavu ataivunja nyumba yake mwenyewe. Muwe na akili japo kidogo nyie wadada wa siku hizi
Kutafuta hela za kununulia simu zinazovunjwa kwa makusudi na watoto na hela za chips anazotaka mtoto ili asirushe tena mfuko kwa mamaake.Wazazi wa kiume wanakuwa wapi katika malezi?
Very true mkuuHayo malezi ya kufuga watoto sio mazuri...mtoto anaelekezwa Do's and Donts mapema sana na kadri anavyokuwa. Na muda wa kumshape mtoto seriously ni from 6-12 years ukizembea hapo atakuja kuwa kituko tu badae.
Jukumu la kufanya hayo ni la wote baba na mama.
Sababu mama ndie anayeshinda na mtoto muda wote, hivyo ni rahisi kumbadilisha mtoto pale anapoona dalili za mabadiliko.Aisee yaani umeandika nilichokuwa naenda kukiandika. Sijui kwa nini kila kitu wanatupiwa kina mama
Hizo kiss za mdomo kama ni katoto ka kiume unakuta kana miaka 2 ila kashajua kabisa hii nampa mwanamke tu.Wazazi wa kike wanachangia sana malezi mabovu kwa watoto. Tutamlaumu baba mtu ila kuna kipindi akiingilia kati ataambulia kauli "leba nilikua mwenyewe na manesi usinitesee mtoto" "haukunisaidia kupush" "huujui uchungu na maumivu ya kujifungua"
Akina mama wa siku hizi wanadekeza vibaya. Na zile kiss za mdomo uchafu mtupu
Kuna mzee mmoja alisema dunia inapoelekea wakina mama watakuja kuwapa watoto wao zaidi ya hizo kiss za mdomo, Mungu Apishie mbaliHizo kiss za mdomo kama ni katoto ka kiume unakuta kana miaka 2 ila kashajua kabisa hii nampa mwanamke tu.