Malezi ya familia za kitajiri yana athari kubwa mbeleni kwa umri kufikia kijana

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Wadau wa hapa JF naleta kwenu ili swala kwa hawa vijana wetu tuliopo nao mazingira tofauti.

Familia za kitajiri kimalezi zinatupa tabu kwa sisi ambao watu baki mambo yanayo fanyika.

umri ukifikia wa kijana unatesa sana wazazi mpaka unajiuliza nini tatizo.

Yani mtoto anataka vyuo vikubwa tena ghalama kubwa mno.

Tuje labda kujiajili mambo ya mitaji.yani hataki kuona umeanzia wapi mpaka kuwa tajiri ila yeye anataka kufanya vitu vikubwa kumzidi yeye bila kujua changamoto.

Matumizi ya hawa vijana ni kama sio watafutaji kwa sababu zipo tu ili mradi kutambiana.

Unawasikia wanakwambia jana Beach kidumbwi nimetumia milioni lisaa limoja.

kushaulika ni wabishi maana tuliokuwa kapuku utamwambia nini.

Yani hapa nimeachiwa jukumu la kumuangalia kijana .mpaka sasa naogopa maana pesa anazotaka nimpe na vitu anavofanya kwa kweli !.

nitashindwa itabidi ni waachie wazazi wake nisije kuonekana tatizo na lawama ambazo wameshindwa wazazi japo ndio haya
 
Dawa ni kuwapeleka shamba tu. Sheria kuu ni ile ile, mwanaume atakula kwa jasho.
Kama huyo kijana anataka kutamba kidimbwi mpigishe jaramba apate hela yake kwa kutumia nguvu zake uone kama hajanywa banana.
Pesa za wengine hua ni tamu lakini ukiona jasho ulilotoa ili upate akili itakaa sawa.
Personally hua kabla ya kuletwa kijana tunakaa na wazazi wake nawaeleza ukweli kuhusu utaratibu wa kazi kwangu. Kama hataweza then nawaambia mapema wabaki nae tusije kulaumiana. Akiwa kwangu atafuata utaratibu wangu fullstop
 
Back
Top Bottom