Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,125
- 8,627
Mbona sehemu zingine anapenda kuvaa suti huko uwa hajikwezi.
Another kinana has born in south africaKijana ninayemkubali sana kutoka South Afrika pia mwenyekiti wa chama alichokianzisha,EFF akiongozana na wabunge wake,wamekataa kuvaa suti wakidai ni dalili za uvivu na kujikweza. Tujadili
Kijana ninayemkubali sana kutoka South Afrika pia mwenyekiti wa chama alichokianzisha,EFF akiongozana na wabunge wake,wamekataa kuvaa suti wakidai ni dalili za uvivu na kujikweza. Tujadili
Mbona sehemu zingine anapenda kuvaa suti huko uwa hajikwezi.
Huku Tanzania kuna mtu Chalinze kachaguliwa! Basi kafanya sherehe na kuchukua familia nzima kwenda kufanya shamrashamra bungeni!!
Kabeba mpaka vimada!!