Malema na wabunge wezake EFF wakataa kuvaa suti wakati wakiapishwa

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,126
8,625
Kijana ninayemkubali sana kutoka South Afrika pia mwenyekiti wa chama alichokianzisha,EFF akiongozana na wabunge wake,wamekataa kuvaa suti wakidai ni dalili za uvivu na kujikweza. Tujadili
 
Attachments

  • IMG-20140521-WA0002.jpg
    IMG-20140521-WA0002.jpg
    45.6 KB · Views: 7,617
Huyu kijana ni kiboko,ningependa wanasiasa wetu hasa vijana wangekua kama huyu.
 
Kijana ninayemkubali sana kutoka South Afrika pia mwenyekiti wa chama alichokianzisha,EFF akiongozana na wabunge wake,wamekataa kuvaa suti wakidai ni dalili za uvivu na kujikweza. Tujadili
Another kinana has born in south africa
 
Hizi kampeni wanaozifuata siwatofautishi na wale waliotaka kwenda Iraq bila visa wala nauli
 
Ni upuuzi mtupu! Overall hadi bungeni? Wangemtimua bungeni huyu kwa kukiuka sheria ya mavazi ya bunge!! Hapa ndo wanasiasa huwa wanatufanya kama hatuna akili vile, yaani hapo unatafutwa umaarufu kwa wafanyakazi Wa migodini! Huku kwetu nako kuna wapuuzi eti wanakunywa mpaka gongo kutupumbaza!!
 
Mbona sehemu zingine anapenda kuvaa suti huko uwa hajikwezi.

Huku Tanzania kuna mtu Chalinze kachaguliwa! Basi kafanya sherehe na kuchukua familia nzima kwenda kufanya shamrashamra bungeni!!
Kabeba mpaka vimada!!
 
Overall na buts zinaingiliana vipi na utungaji wa sheria? anatafuta umaarufu wa kisiasa kupitia kwa wafanyakazi wa migodini, mtanisamehe hao mimi nawaita ni wapuuzi

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
 
Huku Tanzania kuna mtu Chalinze kachaguliwa! Basi kafanya sherehe na kuchukua familia nzima kwenda kufanya shamrashamra bungeni!!
Kabeba mpaka vimada!!

nliposkia wale tausi pale nyumban kwa babake wanakula msos wa milion 6 kwa siku, nusu nijinyonge
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom