kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,802
- 6,468
70% Of arable land, if I'm not mistaken bossHuwa sielewi ANC na Mandela walikuwa na wanapigania nini hasa? Haingilii akilini watu milioni 4 wanamiliki ardhi kwa zaidi ya 70% huku weusi wakimiliki kasehemu kadogo. Cha kushangaza wazuru wenyewe huwaanzishia fujo waafrika toka nchi zingine. Mandela na ANC sijawahi waelewa.