Malema huenda akasababisha vita South Africa

Ng'wanapagi

JF-Expert Member
Sep 18, 2013
9,125
8,626
CIC Malema mwanasiasa mwenye misimamo mikali ameleta hali ya wasiwasi huku SA, hii ni baada ya kuwaambia wanachama na mashabiki wake kujiandaa kuuvamia mji unaokaliwa na Wakulima weupe uitwao SENEKAL. Malema kwa kujiamini amesema ni lazima atakeleze hilo na hamna namna nyingine. Vuguvugu la kuivamia Senekal linakuja baada ya mfanyakazi mweusi kuuliwa na boss wake ambae ni mkulima mweupe. Msikilize hapa chini

CIC Malema mwanasiasa mwenye misimamo mikali ameleta hali ya wasiwasi huku SA, hii ni baada ya kuwaambia wanachama na mashabiki wake kujiandaa kuuvamia mji unaokaliwa na Wakulima weupe uitwao SENEKAL. Malema kwa kujiamini amesema ni lazima atakeleze hilo na hamna namna nyingine. Vuguvugu la kuivamia Senekal linakuja baada ya mfanyakazi mweusi kuuliwa na boss wake ambae ni mkulima mweusi. Msikilize hapa chiniView attachment 1602012
Malema is right..
 
Boers wanapaswa kufahamu kuwa hili sio bara lao. Vita vitakuwa Afrika kusini, kama sio Malema kuisingizia ni mtu mwingine atatokezea na ataisingizia. Tatizo hili litatatuliwa tu wakati tatizo la Boers kumuliki asilimia kubwa ya shamba kule Africa kusini litatatuliwa.
 
Hadi muda huu washaingia maeneo hayo
FB_IMG_1602847545204.jpeg
FB_IMG_1602847552608.jpeg
FB_IMG_1602847562576.jpeg
FB_IMG_1602847573766.jpeg
 
Huwa sielewi ANC na Mandela walikuwa na wanapigania nini hasa? Haingilii akilini watu milioni 4 wanamiliki ardhi kwa zaidi ya 70% huku weusi wakimiliki kasehemu kadogo. Cha kushangaza wazuru wenyewe huwaanzishia fujo waafrika toka nchi zingine. Mandela na ANC sijawahi waelewa.
 
Mandela tulidaganywa tu mkuu ndio sababu Malema anamheshimu Winnie Mandela kuliko Mandela
 
CIC Malema mwanasiasa mwenye misimamo mikali ameleta hali ya wasiwasi huku SA, hii ni baada ya kuwaambia wanachama na mashabiki wake kujiandaa kuuvamia mji unaokaliwa na Wakulima weupe uitwao SENEKAL. Malema kwa kujiamini amesema ni lazima atakeleze hilo na hamna namna nyingine. Vuguvugu la kuivamia Senekal linakuja baada ya mfanyakazi mweusi kuuliwa na boss wake ambae ni mkulima mweupe. Msikilize hapa chini

View attachment 1602012
Mapema anapigania haki sawa na lissu .
Kwa Africa watawala hawapendi kabisa haya mambo ya haki,wenyewe hupenda kula na wakuu.
 
CIC Malema mwanasiasa mwenye misimamo mikali ameleta hali ya wasiwasi huku SA, hii ni baada ya kuwaambia wanachama na mashabiki wake kujiandaa kuuvamia mji unaokaliwa na Wakulima weupe uitwao SENEKAL. Malema kwa kujiamini amesema ni lazima atakeleze hilo na hamna namna nyingine. Vuguvugu la kuivamia Senekal linakuja baada ya mfanyakazi mweusi kuuliwa na boss wake ambae ni mkulima mweupe. Msikilize hapa chini

View attachment 1602012
We unadharau sana eti kwasababu mwezi kagawa na bodi wake mwenye Malema Unachelewa go go ni jino kwa jino, hapa kwa hapa mdomo na tongue ccm na chadema haaaa
 
South Africa bila wazungu Ni shithol3 nyingine tu masikini kuliko hata Bongo

Watu wavivu wanachojua Ni uhalifu na kulalamikia wazungu

Hao wazungu wangejiondokea zao tu wakaishi Australia au Europe wawaachie hayo mashamba tuone, baada ya miaka 10 tu wao ndio wataanza kuzamia Bongo
 
Lissu ,Malema hawa watu ni wa kuigwa
Sio Lissu ambaye alitaka mali zetu za asili ziliwe na wazungu. Huyu nguchiro alikuwa anasema tutapelekwa MIGA rtc. Tundu Lisu ni kibaraka kama huyo mtangazaji aliyekuwa anamuhoji Malema.

Angalia hapa chini uongo wa Tundu Lisu ati London kuna basi moja ....... ..... ... hapa chini mtaa moja tu ulioko London hesbu hayo ni mabasi mangapi?

1602871593351.png

Hapo ni Regent Street London kwa haraka tu utaona mabasi 5 sasa TL anawaaminisha Watanzania kwamba London kuna basi moja la ghorofa …. ujinga mtupu wa kumwamini hayawani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom