Malegends acheni kuwaingilia kazi akina Lwandamina, uongozi wa Yanga badilikeni

craq

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
798
1,000
Wiki kadhaa nyuma nilikuwepo mahala Fulani hivi sipataji ili kulinda privacy ya huyo mhusika sababu nikitanabaisha huenda kwa asilimia kubwa akajulikana.wakati nikiwa pale kuna stori zilikuwa zikiendelea.

Legend wa klabu ya yanga na ni mmoja wa wanaounda benchi la ufundi la yanga alipigiwa simu kutoka makao makuu jangwani na mmoja wa viongozi akimwambia aharakishe upesi sababu kuna kikao kinaendelea kuhusiana na mipango ya usajili.Yule jamaa baada ya maongezi akawa anatoa ubuyu

*usajili unafanywa na wao sababu wanaijua yanga nje ndani na hivyo kufahamu wachezaji wenye sifa ya kuvaa jezi ya yanga akawa anasema Mwambusi mwenyewe mpira hajacheza sisi wakongwe wa yanga ndio tunaijua yanga

Nilichojifunza hawa walimu lwandamina&Mwambusi wanaletewa wachezaji hata wasiokuwa kwenye mipango yao lakini kocha ndio anapaswa apendekeze aina ya wachezaji anaowahitaji kulingana na mfumo na aina ya mchezo anaoutaka

Iweje hao wanaoitwa legends ndio waitwe wachague wachezaji hivi hao legends ndio wanaofundisha uwanjani hivi Leo hii yanga ikafanya vibaya lawama watapewa akina Mwambusi&lwandamina au hao legends.
Nasikia Ngassa amesajiliwa yanga...huyu Ngassa ni flop msimu ulioisha mechi zote alizocheza hajafunga hata goli moja yaani ana goli 0 unaweza kujiuliza kwanini kasajiliwa ? Ghafla nikakumbuka ubuyu ule kuwa sisi ndio tunajua wachezaji wenye sifa ya kuchezea yanga ,sisi tunaijua yanga nje ndani sio hao akina Mwambusi hata mpira hawajacheza

Je ni kweli lwandamina na Mwambusi walimpendekeza Ngassa,je Ngassa alikuwepo kwenye mipango ya lwandamina.

Wasalaam
 
nanjinji

Senior Member
Mar 23, 2017
151
250

Sikubaliani na suala la Ngasa kwenda Yanga au hata OKWI kwenda Simba.
ila mkuu ungethibitisha habari ya NGASA, hii habari yako ingekuwa ya maana sana kuliko sasa hivi au kuna mtu uliogopa atakuwahi..?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom