Malecela's politics & social interaction in fb, twitter: A strategy towards political career?

Umealikwa na Ngwasuma nini? Toka lini makumbushao pakawa na mhadhara? Wewe mwenyewe ajira huna sasa utaongea nini?

- MAkumusho zipo nyingi mkuu sio ile unayisema wewe hapana, ha! ha! ha!, ya ajra yangu au yako ni irelevant huku JF personal hunijui unajua haya ya hapa na yako binasfi wala msyahitaji kuyajua, ha! ha! ha! karibu Sanaa Arts tarehe 26, ha! ha1

William.
 
Le Mutu ushauri uliopewa ni muhimu sana.Ufanyie kazi.Mimi sikukufahamu kabla lakini kwa hulka za 'kitoto' ulizozionesha toka ufike Bongo nimekufahamu na nilishangaa kusikia unagombea ubunge wa EA.Ni wazi hakuna mtu wa kukupa nafasi. Ndiyo maana nashawishika kuamini kuwa, ungeliweza kufikiriwa kwenye nafasi za u DC za hivi karibuni lakini wapi. Kuna kitu.Unaonekana unashindwa kuyamaizi mazingira ya watz.

Kilimo chema huku Kinyerezi

- Mazingara unayoyasema ni kukataa kuingia Chadema, hakuna la zaidi mkuu! ha! ha! ha! na pia kuweka picha yangu na shati ya CCM hapo juu, ha! ha! ha!

- ANYWAYS MKUU SINA MPANGO WA KUJIUNGA CHADEMA, NEVER!

William.
 
SASA HUYU MNATEGEMEA AWE KIONGOZI WENU NADHANI SEHEMU ANAYOFIT NI CCM TU NASIKIA KICHEFU CHEFU MTOTO WA NYOKA NI NYOKA UR THE SAME LIKE MAGAMBA GO BACK TO USA MJOMBA
1W3JxAGTp52yOb1ahUek1nWlhESpYqcoliWUVk13xOZKZKxPx35EFAAAOw==

- Angalau wewe unasema tatizo lako mimi kuwa CCM, heshima sana kuliko hawa wanaojificha ficha na ngonjera!

Willie!
 
Tanzania ni free country kila mtu ana haki na uhuru wa kufanya chochote kinachompa furaha as long as havunji sheria za nchi. Na kijamii kama hamtukani mtu au kumdhalilisha mtu. Mwacheni bro!

- Mkuu heshima sana usijali sana hawa ni watu wangu huwa hawanidhuru, shida yao niingie Chadema, watakutukana bure wewe niachie hawa wasikondeshe!

William.
 
Willie,
Hujue tupo bongo jaribu kuwa makini wewe una plan za kugombea ubunge Tanzania lazima ufuate mazingira ya bongo sasa wewe unaleta mambo ya Marekani Kinyerezi. Hizo picha zako na wanawake tofauti tofauti zinaweza kukukosesha kura sijui kama unalijua hilo...watu watashindwa kukutofautisha wewe na Msanii ya bongo movie.
 
- Mleta mada naomba nikushuru sana kwa kunisaidia sana kuitangaza my new Blog, yaani; Malecela Blog kwenye

Malecela Blog

- I mean I am humbled sana na utu wako, nilipokuwa njiani kurudi nyumbani toka US, niliptia baadhi ya nchi kama nne za Ulaya, hapa nikarushiwa maneno mengi sana kwamba ninenda kufanya nini, nilipofika hapa nikaenda Mtera kuwasikiliza wananchi, again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba mimi ni nani hasa kuwasikiliza wananchi, nilipogombea ubunge wa EAC again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba sina elimu, ha! ha! ha! ha! na sasa here you come na maneno maneno mengi yasiyo na tija kabisa kwa taifa!

- Sasa ninajiuliza one question, exactly what is the problem here? I mean ninawashukuru sana cause mnanitangaza sana tena bure bila ya kulipia, lakini something is a miss, unajua ninajua kitu kimoja JF huwa hatuwajadili watu au Viongozi tusiowapenda, siku zote tunawajadili wale tu tunaowapenda na infact kuna msemo kwamba:

MTI WENYE MATUNDA MEMA NDIO HURUSHIWA SANA MAWE

- So between, ninawasoma sana ndugu zangu blog nimeanzisha kwa sababu ya kuwaachia wengine kwa sababu sina sana muda tena, otherwise ninawashukuru sana kwa kunijali sana maana kila kukicha haikosi thread yangu, saafi sana mimi nipo powa sana, na ninaendelea na shughuli zangu, sijaamua nini cha kufanya next, lakini nipo Shambani kwangu Kinyerezi, maana nikiwa Baharini nilinunua shamba kubwa sana miaka ya 90 NA kujenga nyumba, sasa ninalima huko kila siku, karibuni sana mkiweza!

MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI

William.

Mkuu W.J. Malecela hapo kwenye red umekosea kidogo, hawakukuambia kuwa huna elimu bali walikuambia lazima utashindwa na ndivyo ilivyokua.
Anyway ,unalima mazao gani Le mutuz @ kinyerezi????
 
- Great Thinker, hamna substance hapa sasa ushauri wako ni nini hasa? Dhana ya JF sio kujuana ila hoja, sasa rudi kwanza kajifunze hoja ndio uje utoe ushauri hapa, I mean wewe Great Thinker unasema nikubali ushauri tu kwa sababu wanaonishauri siwajui maana ningewajua ingekuwa tofauti, yaani this is very childsh! ha1 ha! ha! ha!

William.

William Malecela, childlike is you, ndo maana unashindana hoja na watu usiowajua, wakati wanaokujua wanakufahamu hadi unapoinua mguu kuongeza hatua unapotembea. Wenye itikadi za chama chako wengi wana mtazamo mpana katika kujadili mada hapa kwa mwono wa kitaifa kuliko we unayejifunza sasa unavyoona hoja kutetea CCM maana yake kutetea hadi chombo kinapotumbukia baharini. That is so worse.

Kama unashindwa kuona chema cho chote kwa upinzani wakati wananchi wengi na viongozi wengi toka chama tawala wanavua magamba na kuvaa magwanda, lini utaweza kutenganisha pumba na mchele? You look wonderful guy ever.

- Mazingara unayoyasema ni kukataa kuingia Chadema, hakuna la zaidi mkuu! ha! ha! ha! na pia kuweka picha yangu na shati ya CCM hapo juu, ha! ha! ha!

- ANYWAYS MKUU SINA MPANGO WA KUJIUNGA CHADEMA, NEVER!

William.

Mkuu Li Mutu sina chama na sina mpango wa kujiunga na chama chochote. Ushauri wangu ulikuwa very neutral kutokana na jinsi ulivyo. Hakika hulka zinazokutawala si za kiuongozi. Jifunze hata kakina Nape, hawana hulka ya kila dakika ku-update status Facebook na mambo ya 'kitoto'.

Wewe kukesha Ngwasuma, au kuzungukia Malodge na makumbi ya disco inatuhusu nini? Halafu unaweka issue kama hizo wakati unagombea uongozi. What do you expect? Upewe uongozi kwa lipi? Ili uongeze spidi ya kukesha usiku kwenye anasa? Utawafikiria wananchi saa ngapi?..Have a Leadership look mkuu. Ni ushauri tu.
 
Mie naona Jamaa yuko sawa tu, wala hakuna alichokosea labda kwakuwa yeye amekuwa wazi kuliko sisi, wengi waliochangia against yawekana ni
1.WIVU
2.HAWANA VITU KAMA YEYE
3. WANAFIKI HUKU NAO WANATAMANI
4. WASHAMBA TU.
 
Jamaa anajiachia kimamtoni,watz tuwe macho na wanaotaka uongozi kwa majina ya wazazi wao
 
Teh, teh.
Kweli uwezo wako wa kufikiri ni NULL ndg yangu. Mali na mashamba na nyumba vinahusikaje hapa? Umesoma mpaka la ngapi kwani? Ulikuwa unapataga ngapi kwenye somo la hisabati? teh, teh!!

- Mleta mada naomba nikushuru sana kwa kunisaidia sana kuitangaza my new Blog, yaani; Malecela Blog kwenye

Malecela Blog

- I mean I am humbled sana na utu wako, nilipokuwa njiani kurudi nyumbani toka US, niliptia baadhi ya nchi kama nne za Ulaya, hapa nikarushiwa maneno mengi sana kwamba ninenda kufanya nini, nilipofika hapa nikaenda Mtera kuwasikiliza wananchi, again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba mimi ni nani hasa kuwasikiliza wananchi, nilipogombea ubunge wa EAC again nikarushiwa maneno mengi sana kwamba sina elimu, ha! ha! ha! ha! na sasa here you come na maneno maneno mengi yasiyo na tija kabisa kwa taifa!

- Sasa ninajiuliza one question, exactly what is the problem here? I mean ninawashukuru sana cause mnanitangaza sana tena bure bila ya kulipia, lakini something is a miss, unajua ninajua kitu kimoja JF huwa hatuwajadili watu au Viongozi tusiowapenda, siku zote tunawajadili wale tu tunaowapenda na infact kuna msemo kwamba:

MTI WENYE MATUNDA MEMA NDIO HURUSHIWA SANA MAWE

- So between, ninawasoma sana ndugu zangu blog nimeanzisha kwa sababu ya kuwaachia wengine kwa sababu sina sana muda tena, otherwise ninawashukuru sana kwa kunijali sana maana kila kukicha haikosi thread yangu, saafi sana mimi nipo powa sana, na ninaendelea na shughuli zangu, sijaamua nini cha kufanya next, lakini nipo Shambani kwangu Kinyerezi, maana nikiwa Baharini nilinunua shamba kubwa sana miaka ya 90 NA kujenga nyumba, sasa ninalima huko kila siku, karibuni sana mkiweza!

MBARIKIWE NA MUNGU WA MBINGUNI

William.
 
Willie,
Hujue tupo bongo jaribu kuwa makini wewe una plan za kugombea ubunge Tanzania lazima ufuate mazingira ya bongo sasa wewe unaleta mambo ya Marekani Kinyerezi. Hizo picha zako na wanawake tofauti tofauti zinaweza kukukosesha kura sijui kama unalijua hilo...watu watashindwa kukutofautisha wewe na Msanii ya bongo movie.
ritz Hivi kutokea Marekani ndio kuweka picha za wanawake nusu uchi kwenye blog? Mbona ukiangalia blog za wanasiasa wa marekani hawaweki? jaribu kuangalia facebook page ya Obama unambie kama utaona picha kama hizo. Na hao ndio wamarekani halisi. Hakuna Politician ambae anaewza kuweka picha kama hizo katika blog yake, unless he IS NOT a politician. kuna kitu anatangaza pale, sio politics.
 
Last edited by a moderator:
Le Mutuz...mbona haya mambo hayaendani saaaaana na Politics career ur trying to purse bana? me get scared na movememnt zako bro....i hv to be honest with you broda......remember ur a Tanzanian, culture na taboos zetu zote unazijua, u went to US at the age of 18, i believe kwenye age hiyo ni mtu mzima anaeweza kukumbuka kila kitu cha motherland....sidhani kama inawezekana culture na taboos zote zimemezwa na western culture to that extent.....please back down bro, for your own sake. For your information, kama hujui...Watanzania wengii ni wanafiki, wanaweza kuwa wana comments post zako lakini behind the scene wanasema tofauti...that is true na kukataa ni kujidanganya sana. Wewe ni rafiki yangu, brother and mentor pia lakini kwa hili naomba niwe tofauti sana na wengi....narudia tena.
Achana na hizi movements zako kwa style hii kupost mapicha ya wadada wamekaa uchi uchi wengine wamekaa poa hasa kwenye facebook and blog yako, kujenga reputation kuna approach nyingi, kujenga umaarufu na kujulikana kuna njia nyingi sana na bora kuliko hizi za Facebook & blogs na posts za kusifia wadada, maeneo unayotembelea, vyakula unavyokula, clubbing etc.....if you real want your presence to be noticeable please find the best strategies and good approach. Tanzania pamoja na uzembe wetu, uvivu, na umasikini wetu lakini still we have good people wenye ushauri mzuri, hekima na busara nyingi tu kuweza kum groom mtu na kuwa vile anavyotaka na jamii ninavyotaka pia, so please use them bana.
Ni ushauri tu.
Malecela WJ Blog: MREMBO TOKA DC WASHINGTON!

JF Members.....naomba nieleweke wazi hapa, sina hakika kama title na ujumbe viko sawa, sina hakika kama nipo kwenye page sahihi, so if am wrong naomba kuelekezwa. Naomba heshima na utu wa kila mchangiaji uzingatiwe, lugha za matusi na kejeli hazitakiwi.
Asanteni Sana.

Hapo kwenye red, mie nilimdelete kwenye facebook kwa sababu ya hii mitabia ya kipuuzi
 
Back
Top Bottom