Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Mimi nimeona nifungue mada ya pembeni na ya kujitegemea ili kutaka kujua ukweli juu ya Mzee Melecela. Maana nimesoma mengi yakisemwa kwamba ni chuki dhidi ya Mzee huyu . Sasa najiuliza hizo chuki ni zipi na kwa nini ? Pia nimeona jina la Jumanne . Ninashangaa kwa nini jina hili lilijitokeza siku zile ? Nia ni njema kwamba nataka kujua tafadhali mwenye msaada wa kutaka kunisaidia na si kunitukana aniweke sawa .

Nitaomba pia mazuri ya Mzee yatajwe hapa na kujua kama ni kweli kwa nini basi hata baada ya Mwalimu kufa huyu Mzee hakuwahi kuingia hata round ya pili ya kuoba kuchaguliwa kugombea Urais ndani ya CCM .

Naomba kutoa hoja .
 
Maswali mazito haya . Madai ya Jumanne nayo makubwa haya kuna wa kutusaidia kama ana majibu maana mimi sina hata la kusema . Kuna watu wa Karibu na Mzee Samwel Malecela atupe ukweli wa ndani jamani ?Mzee unamjua sana huyu Mzee hebu nipe ukweli kuhusu hili
 
Pamoja na usomi wake na uwezo wake wa kazi amabo nilikuwa nauadmire lakini aliboa pale alipokuwa PM ambaye watu walimtegemea kuwa na hekima ya kutatua matatizo ya nchi lakini kitendo cha kuwaita waislam VICHWA MAJI kilimharibia hata huyo NYERERE hakuwahi kuwatukana waislam hivi

Yaani kwa mtu amabye likuwa career diplomat na alikuwa na exposure ilikuwa ni cheap tactic and the rest is history
 
Mimi nilikuwa naishi pale Sinza, na Mzee Malecelea alionekana sana kwenye ule msikiti nyuma ya hospitali ya wapalestine. Alihudhuria pale siku ya sala za ijumaa kama nne tano hivi kitendo ambacho kilifanya watu wahisi kuwa amebadili dini. Hata hivyo jina la J4 likuja sikika kutoka mitaani tu na sina uhakika kama lilikuwa na uhusiano na mahudhurio yake pale msikitini.
 
kichuguu said:
Mimi nilikuwa naishi pale Sinza, na Mzee malecelea alionekana sana kwenye ule msikiti nyuma ya hospitali ya wapalestine. Alihudhuria pale siku ya sala za ijumaa kama nne tano hivi kitendo ambacho kilifanya watu wahisi kuwa amebadili dini. Hata hivyo jina la J4 likuja sikika kutoka mitaani tu na sina uhakika kama lilikuwa na uhusiano na mahudhurio yake pale msikitini.

He! Mimi nlidhani stori hizi ni za paukwa pakawa tu, mbona zinaanza kutake shape. ... eti amehudhuria Swala za Ijumaa nne tano?! Haya ni mapya kwangu... hata hayo ya kuitwa Jumanne ndio nimeanza kuyasoma humu. Nawasikilizeni wenye habari.
 
Jamani ,

Mimi nadhani muungwana hapo juu maswali yake yanahitaji majibu ....teh teh teh
 
hivi Jumanne ni jina la kiislam ? Kama ni kweli JM alitaka kuwa Muislam wakati gani na ili iwe nini ? Huko msikitini alikokuwa anaonekana alikuwa aki swali ama alikuwa anakutana na waumini baada ya swala ? Samahani kuongeza maswali wakati bado Murangira hajapewa majibu kamili .
 
Kichuguu
mimi ni mmoja wa wadhamini wa Masjid Nuur.niko mimi. mkobo na alikuwepo Mituro wangine sitaki kuwataja.
Malecela alikuja lini pale? Mkristu aliyeingia pale ni Ritta Mlaki akiwa na kofia ya ukuu wa wilaya ya kinondoni wakati huo BM akimtangaza lakini nae hatasau siku ile.
 
Mzee Malecela, kabla ya mke wake kufariki alikuwa akitembea na Mama Tatu Ntimizi, aliyekuwa waziri mdogo wa Ardhi baadaye Afya na ambaye ni Muisilamu, Mama Tatu, alipooona Mke wa mzee amefariki akaamini kuwa Mzee atamuoa, kwa hiyo akaanza filimbi za kusema kuwa Malecela anataka kumuoa, na kwamba tayari ameshabadili dini, habari zikamkuta adui mkubwa wa Malecela Mwalimu, aliyewaaambia waandishi wake kuzichapisha kwa wingi na pia hata kumchora sana kwenye magazeti, they did,

Ndipo kaka yake Lusimnde akamuonya kuachana na huyo mama, the matter of fact ni Lusinde ndiye aliyemfukuza Mama Ntimizi kwenye Arobaini ya mke wa Malecela na hata kwenye mazishi ya mama wa Malecela, na ndipo Mzee akaachana na huyo Mama Ntimizi ambaye baadaye alianza kutembea na Sumaye, Waziri Mkuu, huku Mzee Malecela akimuoa kanisani Mama Anne Kilango, mbunge wa Same.

Malecela alikwenda msikitini kama viongozi wengine wote wanavyokwenda kuongea na Waisilamu, katika kutatua matatizo kabla ya maandamano baada ya kupata habari za usalama kuwa wanajitayarisha kuandamana kazi ambayo baadaye walimpatia Mzee Kitwana Kondo, ambayo huifanya hadi leo hiii, na ndiyo ilyompa nafasi hata ya kuingia chumbani kwa Mkapa wakati wowote ule hata saa nane za usiku.

Lakini at the same token, Malecela alikuwa akitembea na mama mmoja wa kihaya pale Sinza, ambaye alikuwa ni mshonaji wa nguo mkubwa sana jijini ambaye alizaa naye mtoto wa kike daktari, ambaye badaye alijiua mwenyewe, na pia huyo Mama wa kuihaya alikuwa amezaa na Mzee Nyamka Ramamdhani, aliyekuwa Meya wa jiji, nafikiri wote tunamfahamu yule kijana aliyekuwa dj wa IPP wakati fulani, nii mmoja watoto aliozaa huyo mama na Mzee Nyamka. Kwa hiyo kama ulimuona Malecela kwenye mitaaa ya huko Sinza basi 95%, alikuwa akienda kwa huyo mama.

Malecela hajawahi kuwatukana Waisilamu, angewatukana urafiki wake na Salimin na Mwinyi, ungeisha siku hiyo hiyo, kama urafiki wa Salimin na Mkapa ulivyoisha baada ya Mkapa kuwatukana Waisialmu.

Akliwa Wazirii Mkuu, Malecela hakuwa na power yoyote zaidi tu ya kutekeleza anayoambiwa na Mwinyi, Lowassa ndiye Waziri Mkuu wa kwanza bongo mweye power ya kweli katika historia ya bongo, maana kwanza Mwalimu hayupo, na pia ni rafiki wa karibu wa rais wa sasa, halafu pia Lowassa aliamua kumuachia JK agombee kwa makubaliano kati yao kuwa ni zamu ya Muisilamu na kwamba wakati utakapofika atamuachia Lowassa, kumbuka mbinu zote za kampeni ya mtandao zilikuwa zinatengenezwa na Lowassa, the masterminder!

Mzee mtoa mada kama haya hayajibu maswali yako, nifahamishe nitakusaidia zaidi!
 
kuna habari zinafichwa hapa kuhusu Mzee Malecela siamini hizi hadithi hapa juu . Akija mtu mwingine tofauti na ES akaja na hadithi tofauti ninaweza ku rethink lakini hadi sasa tumesha ona hapa kwamba ES wale wote ana maslahi nao yuko tayari hata kukutukana ili akuzibe ukweli usisemwe. Nikiunganisha hadithi hii inazua mambo mengi na maswali mengi sana juu ya Malecela na hata uwezo wake ambao tumekuwa tunaimbiwa kila siku hapa . Tuendelee mengi yatasikika .
 
Issue hapa ni Maelcela, nimesema kuwa uliza yanahusu Malecela hapa nitakusaidia, kama ninayajua Mzee TT, you wanted this kwa hiyo enjoy!
 
Yap ES naona unaanza kuongea.

Ila mimi nilikuwa nina jambo moja naomba kuwaomba. Achaneni na mambo ya JM wala ya JKN. Mambo yao binafsi hayajengi. Ningeomba ES upeleke ile mada ya JKN kwenye DINI, ni proof nzuri ya kuzuia asiwe mtakatifu, utakuwa umesaidia wakatoliki kumfahamu. Ombi tu ndugu yangu.

Na hata huyu mzee MKIMYA JM pia muacheni jamani amekosa nini mpaka mnamtafuta? Mtandao wamemsakama, bado katulia na nyinyi mnamtafutia nini?, aliyofanyiwa ktk siasa inatosha jamani. Ombi tu jingine hilo.

Ushauri wa bure: wekeni nguvu kujadili kwanini Lowasa anawanyamazisha wabunge wa CCM?, kwanini asiwaache waje juu akina Msabaha wajiuzulu?, ndipo ninapodharau, viongozi wa kitanzania.

Soma kichekesho chenye ukweli kuhusu viongozi wetu hapa chini:


While visiting England , Mr. Mrema The Chairman of TLP, is invited to tea
with the Queen. He asks her what her leadership philosophy is. She says
that it is to surround herself with intelligent people. He asks how she
knows if they're intelligent.
"I do so by asking them the right questions," says the Queen.
"Allow me to demonstrate."
She phones Tony Blair and says, "Mr. Prime Minister.
Please answer this question: Your mother has a child, and your father
has a child, and this child is not your brother or sister. Who is it?"
Tony Blair responds, "It's me, ma'am."
"Correct. Thank you and good-bye, sir," says the Queen.
She hangs up and says, "Did you get that, Mr.
Eliatonga?"
"Yes ma'am. Thanks a lot. I'll definitely be using that!"
Upon returning to DAR , he decides he'd better put the minister of
infrastructure Mr. mramba to the test.

He invite Mr. Mramba and says,
"Heh brother, I wonder if you can answer a question for me."
"Why, of course. What's on your mind?"
"Uh, your mother has a child, and your father has a child, and this
child is not your brother or your sister. Who is it?"
Mramba hems and haws and finally asks, "Can I think about it and get
back to you?" Mrema agrees, and Mramba leaves.
He immediately calls a meeting of other senior oposition parties and
they puzzle over the question for several hours, but nobody can come up
with an answer.
Finally, in desperation, Mramba calls Magufuli, the former minister of
his ministry, and explains his problem.
"Now look here Magufuli, your mother has a child, and your father has a
child, and this child is not your brother, or your sister. Who is it?"
Magufuli answers immediately, "simple, It's me, of course.
Much relieved, Mramba rushes back to Mrema and exclaims, "I know the
answer! I know who it is! It's Magufuli, the former minister of my
ministry!!!!!!"
And Mrema replies in disgust,

"PUMBAVU mkubwa wewe, ovyo kabisa, It's Tony Blair.
 
jamani achaneni na bifu hii ya JM na JKN. si vizuri kwanza hawa watu wawili wana tofauti kubwa kuwalinganisha jamani hee!

Mnawapa watu wengine ujiko bureeeeeeeeee!!

Ninawaomba watu mnamtetea mwl achaneni mnajiabisha jamana na kuwapa watu wengine ujiko bureeeeeee!

Ni imani yangu mtanisikia nami ninampena mwl lakini sipendi kuona tunalinganisha maji na mafuta acheni jamani.
 
Mzee Fikiraduni,

RESPECT, hayo maneno yako kwa kawaida huku bongo huwa yanasemwa na viongozi wenye busara kama kina Mwinyi, ndio utawasikia wakitoa maneno kama yako hayo hapo juuu,

kwa wale wanaotaka kunitisha na maneno ya kashfa, na huku wakishangilia kutukanwa kwa Mzee Malecela, ninasema you ain't seen anything yet hatukutaka kwenda hiii njia ila ni nyinyi ndio mmeianza,

Malecela ni binadamu mwenye mapungufu kama hao mnaowatetea na tunayajua, sasa ruhseni mawe yenu kama alivyosema Yesu kwanza kama mlivyoanza hapa na sisi tutajibu, ninasema hivi kumtukana kongozi yoyote wa nchi bila ya sababu sio busara hata kidogo,

Siasa siku zote ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wachafu, na wengi weu hapa hatuonekani kuelewa hilo, I was shocked kuingia jana hapa na kukuta hiii mada na kwamba kuna hata washangiliaji kina Rufiji ambaye sasa eti antaka kunitisha na kazi, mzee wangu ninafanya kazi ya taifa siyo ya Malecela, na hata akitoka nipo bro mpaka mwisho na kesho,

Achreni kuvunja heshima za watu hapa, bila sababu, Mzee Fikiraduni RESPECT kwa busara zako za siasa za bongo pure! Sasa ninasema ninakaaa pembeni na kuangalia, mkileta tena matusi hatuna choice maana haizko nyingi!
 
ES
Ingawa kila mara tunatofautiana lakini penye ukweli uwa nakuwa mtulivu, kila ninachoandika huwa naangalia pande zote. JSM huwa ni mkimya, hana maneno, ameonewa mara nyingi sana, tuhuma ambazo hatuna uhakika kuwa ni kweli au hapana. Mi ya kusikia nimesikia mengi tu toka ya yule Mbunge wa Songea ...Landrover...nyara za serikali, mpaka kikahusishwa na kifo cha mkewe. To me zote ni theories. ndio maana siandiki nilichosikia.

Lucy lameck ameondoka na akina Kabeho (mkuu wa mkoa Arusha) na wengi tu ndugu zangu karibu wajumbe wa halmashauri kuu ya taifa ya CCM wengi waliokufa (lakini sio wote) wameuwawa na huyu mama.
Sasa naomba mjue kuwa kuwaomba kuacha huu mjadala ni kwa nia njema tu bandugu.

Naomba basi niwe wa mwisho kuchangia. ES ametundika glovu. wengine kubalini.

Asanteni sana

FD
 
Adminstrator ,

Usifunge hizi topic kwa sababu MZEE ES amekuambia hivyo , kama kweli hawa watu wana data za kuwaaccuse hao watu basi wanatkiwa waziweke hapa wazi , Mtu kama ES najua hana data zozote ndio maana anakimbilia kutishia watu ...waziweke hapa na tutaexpose ujinga wao !
 
I srtongly disagree na madai kwamba Nyerere alikuwa adui mkuu wa Malecela.Kama ni "uadui" basi aliutafuta Malecela mwenyewe na tamaa zake za uongozi.Kuna facts mbili hapa chini,na asiyekubaliana nazo atakuwa na ugonjwa wa ubishi

1.Laiti Nyerere angemchukia Malecela,ni dhahiri leo asingekuwa hapo alipo.Anaetaka kujua kwa undani awaulize akina Kasela Bantu,Fundikira,Prof Babu (kama angekuwa hai) na wengineo ambao walipishana njia na Mwalimu.Na kwa vile Watanzania ni watu wa kusahau na kusamehe ndio maana leo hii watu hawakumbushii ile trademark statement ya Malecela kwamba "Watanzania can go to hell..."

2.Kwa makamu mwenyekiti wa CCM kupigwa chini mara mbili kwenye kinyang'anyiro cha kugombea kuteuliwa kuwa mgombea wa CCM ni dalili tosha kuwa something is very wrong with him.Na mwaka jana ndio imethibitika zaidi kwa vile "adui" yake Mwalimu hakuwepo na bado akaishia kupigwa chini na JK ambao kimadaraka ya chama alikuwa junior to Malecela.

Hivi zile flana na khanga za "ushindi wa Malecela kuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM" zilizochapishwa na Anne Kilango zilipelekwa wapi?
 
Back
Top Bottom