Malecela ang'oa mashine ya maji aliyokifadhili kijiji cha Mtera? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malecela ang'oa mashine ya maji aliyokifadhili kijiji cha Mtera?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Oct 15, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  katika hali inayoonesha kuwepo kwa machungu ya kushindwa katika kura za maoni ndani ya chama chetu, malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera kwa kisingizio cha yeye kutokuthaminiwa na wana kijiji hao.
  habari nilizopata kutoka kwa kigogo mmoja wa ccm mkoani ni kwamba chama mkoani kimeamua kufuatilia suala hilo na kumsihi mzee malecela aachane kuendeleza makundi ndani ya chama na suala hilo kuonekana kama kadhia kwa chama.
  mkuu mwenye taarifa zozote zaidi atutaarifu kwani mambo hayo ya 'upatanishi' yamekuwa yakifanyika kwa usiri na uangalifu mkubwa.
  nawasilisha!!
   
 2. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heheeheheeheh Melecela anavioja sana huyu! Kumbe alikuwa anataka uongozi kwa kutumia pump ya mchina shame on you!
   
 3. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
   
 4. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,509
  Likes Received: 2,750
  Trophy Points: 280
  Wasubiri Riz1 akifika huko atawapatanisha na watarudishiwa mashine yao!!!!!!
   
 5. M

  MathewMssw Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 27, 2009
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu ni kijiji gani alichong'oa hizo pamp za mchina? kwani mtera ni kubwa mno!
   
 6. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Mzee huyu ana hasira! Aliwaambia Watanzania "To hell" Hivyo hakuna la ajabu.
   
 7. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  maendeleo ya ccm ni mtaji wa kura. kama huipi kura wanakula kwako
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kijiji chenyewe ni mtera bwawani kwa mujibu wa kingunge aliyetoa siri hiyo ambayo sio siri tena.
   
 9. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  malari sugu upo?
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Na yule mzee anaweza kung'oa kweli maana ana hasira za ajabu sana. Poleni wana-Mtera.
   
 11. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Kingunge mchonganishi yanamhusu nini ya mtera kwani alikuwepo wakati wanapeana?.Afunge bakuri lake huyo mzee nasikia anajiandaa kuwabwatukia maaskofu kwa mara nyingine.
   
 12. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Wakuu hii kitu imekaa kishabiki zaidi mwenye kanzisha thread hana uhakika na habari alizozileta mwenyewe anaomba mwenye taarifa za uhakika atupe badala ya kutulia kusubiri taarifa za uhakika tunakimbilia kupongezena !!!!!!.

  Kama ni kweli Tinga tinga kafanya hivyo itakuwa aibu kubwa kuwahi kufanywa na kiongozi aliwahi kushika nyazifa nzito na mmoja kati ya watu saba wenye busara/hekima duniani ambao UN iliwatumia kuwashawishi makaburu wamwachie Nelson Mandela na kukomesha siasa za ubaguzi.Nasema siamini Malechela anaweza kufanya upuuzi wa namana hii nitaamini tu ikiwa ushaidi utatolewa na chanzo cha uhakika.
   
 13. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Wana inama wana inuka CCM wanaona haya haooooooooooooooooooooooo.
  Unaweza tupa source pls manake isije ikawa ni hear say
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hahaahhhaaaaaaaaaaa umenichekesha ndugu. Nakumbuka mabali sana. Hakuwa na maana ya Kinginge Ngombale Mwiru kaka ! Maana yake Kingunge tujuavyo sisi ni kama kumuita Kigogo fulani. Ni mkubwa kwenye chama hicho cha sisiemu.
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Another meaning of CCM: Chukua Chako Mapema.

  Bwana JM. Karibu kundini (Chadema).
   
 16. A

  August JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,511
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  after all husiano wake na mbeya toka enzi za gibbons mwaikambo ni wa siku nyingi atakuja tu chadema, muwe na subira
   
 17. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  tupe source kaka!!!
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  OH MY DEAR TINGATINGA...HOW OLD HAVE YOU GONE NOW?

  [​IMG]
   
 19. Questt

  Questt JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 8, 2009
  Messages: 3,013
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Its hard to believe this.......
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  safiiiii
   
Loading...