Malboro man alikuwa anatangaza biashara ya sigara na ndio iliyo muuwa kwa kansa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
attachment.php

The actor who portrayed the "Malboro Man" in print and television cigarette advertisements died of lung cancer at age 51 on July 1992. Some of his last words were : "Take care of the children. Tobacco will kill you, and I am living proof of it
 
Wamekataza bhangi ambayo inaleta conciousness na kuruhusu tombako ambayo ni kansa ya nje nje, legacy ya mzungu hii.
 
Enzi nikiwa binti, kijana anaevuta sigara asingeweza hata kunisalimia. Ni ushamba na kutokujua kabisa. Kuvuta sigara ni risk factor of all lifestyle diseases. Bora ujana tunajua maji ya moto, jitu zima unakuta linapuliza moshi kama treni!

Hivi unajua kwa mfano tu, kama unavuta sigara na unakutana na vumbi lenye silica inaongeza chances za wewe kupata silicosis by 76%?
Unasema ushamba wakati wenzio kwetu ndo fasheni ya ujana, ukiibana katikati ya vidole viwili ukapuliza moshi juu kama treni ya Mwakyembe huku ukitembea kwa kudundika utanambia nini..!!!?
 
Hebu tuache kudandia vitu kama mahayawani,nani alikuambia sigara inaleta cancer,mmekuwa brainwashed na mnakubali tu kupelekwa kama mang'ombe. Hospitali kubwa ya cancer ni pale ocean road na wakati wote wagonjwa wako full, kafanye utafiti pale uone ni wagonjwa wangapi WA cancer walikuwa wanavuta sigara, nakuhakikishia kwa uzoefu wangu pale kati ya wagonjwa 100 utakuta 8 tu ndio walikuwa wanavuta sigara.
 
kwa hiyo unamanisha nini
 
Na hao 92 ambao wamebaki imesababishwa na nini? Wewe haupelekwi kama mang'ombe? Mbona povu?

hebu tuache kudandia vitu kama mahayawani,nani alikuambia sigara inaleta cancer,mmekuwa brainwashed na mnakubali tu kupelekwa kama mang'ombe. Hospitali kubwa ya cancer ni pale ocean road na wakati wote wagonjwa wako full, kafanye utafiti pale uone ni wagonjwa wangapi wa cancer walikuwa wanavuta sigara, nakuhakikishia kwa uzoefu wangu pale kati ya wagonjwa 100 utakuta 8 tu ndio walikuwa wanavuta sigara.

kuna watu vilaza dunia hii .... We endelea kuvuta tu
 
Na hao 92 ambao wamebaki imesababishwa na nini? Wewe haupelekwi kama mang'ombe? Mbona povu?

Dhumuni la kuwa na pua lingekua ni kupitishia moshi na si kuvuta hewa,nadhani tungekuwa na sehemu maalumu ya kutole moshi kama yalivyo magari,pikipikina na treni pia kama sio ndege.
 
Malboro huyu ndio huyu kwenye mifuko hii maarafu kama mifuko ya rambo/marbolo hata kama haina picha ya rambo/marbolo?
 
Ingekuwa kutovuta sigara ni tiba ya cancer maisha yangekuwa rahisi sana. Tungebomoa viwanda vyote vya sigara na kisha tubomoe hospitali zote za cancer.
We acha kuvuta ukitegemea hutalazwa pale ocean road

kuna watu vilaza dunia hii .... We endelea kuvuta tu
 
ARV ndugu kwani ulipo ambiwa kwamba ngono inaambukiza ukimwi walimaanisha hakuna njia nyingine? Sasa ww tumia mpira, halafu kachangie kiwembe na mwathirika.

Lakini pia maisha bwana hayana Formula, bikidude kala mifegii weee kagonga karne, sasa mm na ww tusivute sigara, tusinywe pombe mingi, tufanye ngono salama, na kujali afya zetu kwa ujumla tuone tutafiika wapi, ukipita 60 unabaahati.

Mwisho ishi upendavyo bila kumsahau Mwenyezi Mungu ili ikifika uwepazuli.
 
Saa nyingine huwa nafikiri hawa wavutaji ni sawa na mateja, labda effect ni tofauti. Maana sidhana mtu mzima na akili timamu unavuta kitu ambacho kwa uhakika kinahatarisha maisha yako by 90%...mtasema ni sawa na ngono, atleast ngono kama kinga ipo usalama upo lakini nini kinga ya sigara?
 
nashukuru mungu sivuti hio kitu japo rafik zangu wengi wanavuta,kuna mjomba wangu alikufa sababu ya hio kitu mapafu yake yalikuwa yameungua sababu ya sigara na ata alipata kansa ya koo,yan ile amepigwa xray doctor akasema uyu awez pona na ata mwenyewe akasema tusiangaike kupoteza gharama yan alikuwa anashindwa kula,koromeo,mapafu yote yalishaungua sababu ya sigara alikuwa ni mvutaj mzuri wa sigara,akikosa ela alikuwa anachukua karatas na tumbaku anawasha anavuta.RIP uncle
 
Enzi nikiwa binti, kijana anaevuta sigara asingeweza hata kunisalimia. Ni ushamba na kutokujua kabisa. Kuvuta sigara ni risk factor of all lifestyle diseases. Bora ujana tunajua maji ya moto, jitu zima unakuta linapuliza moshi kama treni!

Hivi unajua kwa mfano tu, kama unavuta sigara na unakutana na vumbi lenye silica inaongeza chances za wewe kupata silicosis by 76%?
Maneno yako yanauchoma Moyo wangu,,Ni mwaka wa 10 sasa napambana niweze kuacha haya makitu
 
Aaaaaaaaaaaaah,kwanza mmenikumbusha hebu ngoja niwashe nyingine hapa,maisha mnayosema yamezungukwa na ajali kila kona,kila kitu ni hatarishi kwa maisha ya mwanadamu iweje leo watu waikomalie fegi.Waache basi na kuilima na kuitangaza, lakini kama ipo madukani watu tupo na tutachoma tu kuongeza pato la Taifa..
 
Back
Top Bottom