Malaysia's 14-year-old bride defends marriage

Status
Not open for further replies.

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254

A 14-year-old Malaysian Muslim schoolgirl has defended her controversial marriage to a 23-year-old teacher after an uproar from rights groups, a report said Sunday.

Teenager Siti Maryam Mahmod wed Abdul Manan Othman last weekend in a mass wedding at a mosque in the capital Kuala Lumpur, after being given permission in an Islamic Sharia court.

The marriage has prompted fresh debate on child marriage, with rights groups calling for the laws that allow underage marriage to be repealed, with some arguing child marriage amounts to paedophilia.

Speaking for the first time since the controversy erupted, Siti Maryam told weekly newspaper mStar that she was entitled to wed and had not been coerced.

"Marriage is the right of the individual and I am well-prepared to take up the duties of a wife," said Siti Maryam, who met her husband early this year when he was giving religious tuition to her two younger siblings.

"I have thought about the responsibilities and the consequences of marrying at a young age. At the same time, I have my mother to guide me on my marriage and my wifely duties," she added.

Siti Maryam said she and her husband have agreed to focus on completing her studies before beginning a family.

Malaysian Muslims below the age of 16 are allowed to marry as long as they obtain the permission of the religious courts. Sharia law runs in parallel with civil law in the multi-ethnic country.

Activists have said underage marriage is unacceptable, calling for law reforms to curb the practice which they said is widespread with some 16,000 Malaysian girls aged below 15 already married.

Source link: Malaysia's 14-year-old bride defends marriage - Yahoo! Singapore News
 
A 14-year-old Malaysian Muslim schoolgirl has defended her controversial marriage to a 23-year-old teacher after an uproar from rights groups, a report said Sunday.

Teenager Siti Maryam Mahmod wed Abdul Manan Othman last weekend in a mass wedding at a mosque in the capital Kuala Lumpur, after being given permission in an Islamic Sharia court.

Sharia law ndio inasimamiwa na Mahkama ya Kadhi?
 
Thread hii na nyingine kadhaa, zinaletwa makusudi kwa ajili ya udhalilisha na kutusi Dini ya Kiislaam na Waislam, cha kushangaza waendeshaji wa JF wanafurahia hili jambo, pengine tuamini na nyie mna mchango wa hili!

Kwani hiyo picha au hii thread inatusi vipi au inadhalilisha vipi dini ya Kiislamu?
 
Duh mkuu kweli nimegundua JF kuna kautani flani ka udini, naomba Mungu kasipitilize pls sisi sote ni ndugu na hizi dini za waarabu na wazungu zisitutenganish sisi jamani.
 
Alaaniwe yeyote anaye kaa na fikira za kidini dini na wote semeni Amina!
Alaaniwe ambaye mijadala ya kidini haiishi kinywani mwake na wote semeni Amina!
Alaaniwe adhaniye dini yake ni bora kuliko ya Mwingine na wote semeni Amina!
Alaaniwe anayepandikiza mbegu ya udini Tanzania na wote semeni Amina!
Alaaniwe anayekashifu dini ya mwenzake na wote semeni Amina!
Alaaniwe yeyote atakayechukizwa na maoni yangu haya na wote semeni Amina!
 
Thread hii na nyingine kadhaa, zinaletwa makusudi kwa ajili ya udhalilisha na kutusi Dini ya Kiislaam na Waislam, cha kushangaza waendeshaji wa JF wanafurahia hili jambo, pengine tuamini na nyie mna mchango wa hili!

ni kweli udini sio mzuri...! ILA NI KWELI MOHAMADI ALIMOA AISHA AKIWA NA MIAKA 6, WAKATI YEYE AKIWA NA MIAKA 54., kwa lugha ya sasa angeitwa FATAKI.
 
Miaka siyo determinant of marriage?

Ikiwa ana miaka 14 na amebalehi (anapata siku zake i.e. hedhi) anastahili kuolewa kwakuwa inaonyesha kwamba anaweza mambo makubwa ikiwemo kubeba mimba period!

Kuhusu kusoma hayo yatakuwa makubaliano yake na mume wake, wazazi wake period!

respect other peoples culture and values
 
Hivi Madrasa wanahitimu wakiwa na umri gani? au chuo cha madrasa ni miaka mingapi kumaliza? hio si ndio elimu muhimu kwao?
 
Mhhh kazi kweli kweli. Huyu kaoelewa hadharani na kila mtu anamjua mumewe na kuwa wamekubaliana namna gani wataendelea na masomo wakiwa katika maisha ya mume na mke. Sisi akina nani kuanza kupinga ndoa hii???. Huyu kaolewa tunapinga, je twataka atiwe mimba mtaani na atelekezwe ndio tutafurahi??? Haya wengine wanaanza kutania kuwa anafuata mfano wa.......... sawa ni haki yake aufuate mfano huo maana unalinda heshima ya dada na mama zetu kuliko kupachikwa mimba na kutelekezwa kunawadhalilisha dada na mama zetu. Wakati umefika hata hapa TZ tupitishe sheria kuruhusu vijana wanaosoma sekondari iwe ruhusa kuolewa huku wanasoma kwa watakao taka. Hapa hatutakuwa na hofu ya kuwaambia vijana wetu watumie kondomu!!!!!!!!!!
 
Hivi Madrasa wanahitimu wakiwa na umri gani? au chuo cha madrasa ni miaka mingapi kumaliza? hio si ndio elimu muhimu kwao?

Umri siyo kigezo cha mwanamke/msichana kuhimili ndoa...kigezo ni "KUPATA HEDHI"

Elimu ya madrasa haina umri wowote kuanzia age 3 up to infinity as far as I know

next?
 
Umri siyo kigezo cha mwanamke/msichana kuhimili ndoa...kigezo ni "KUPATA HEDHI"

Elimu ya madrasa haina umri wowote kuanzia age 3 up to infinity as far as I know

next?

Asante kwa ufahamu, ina maana hata wewe mtoto wako akipata hedhi na miaka 9 unamuozesha?
 
Mhhh kazi kweli kweli. Huyu kaoelewa hadharani na kila mtu anamjua mumewe na kuwa wamekubaliana namna gani wataendelea na masomo wakiwa katika maisha ya mume na mke. Sisi akina nani kuanza kupinga ndoa hii???. Huyu kaolewa tunapinga, je twataka atiwe mimba mtaani na atelekezwe ndio tutafurahi??? Haya wengine wanaanza kutania kuwa anafuata mfano wa.......... sawa ni haki yake aufuate mfano huo maana unalinda heshima ya dada na mama zetu kuliko kupachikwa mimba na kutelekezwa kunawadhalilisha dada na mama zetu. Wakati umefika hata hapa TZ tupitishe sheria kuruhusu vijana wanaosoma sekondari iwe ruhusa kuolewa huku wanasoma kwa watakao taka. Hapa hatutakuwa na hofu ya kuwaambia vijana wetu watumie kondomu!!!!!!!!!!

Unaunga mkono uroho wa hilo libaba lisilokua na haya kuparamia vitoto vya Chekechea? Haya ndio maadili? Jitu zee zima la miaka 50+ linaoa katoto under 7 years? Je huu ndio mfano wa kuigwa unaotaka ufuatwe na watanzania? Je ungependa binti zako wafanyiwe hivi?
 
Kwani hiyo picha au hii thread inatusi vipi au inadhalilisha vipi dini ya Kiislamu?

mara zote makafiri kama huyu atakapoambiwa umenikanyaga yeye atasema sijakukanyaga na hali kakukanyaga kweli. ukweli utadhihiri soon, nyie tukaneni ila siku zenu zinahesabika. muislam siku zote dunia kwake ni kitu cha kupita tu, na imani hii ndiyo inayomfanya asiogope kufa kama makafiri, kilicho nyuma ya panzia ni akili ya muumini tu kuweza kujua namaanisha nini. laana tu llah lmukadhibina
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom