Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mkuu sina uhakika na nimetolea mfano wa watoto tu kuonyesha lakini nadhani kuna sababu au kuna phase. Ukweli kwa mfano wangu wa watoto tu haiwezi kubwa sababu pekee.
Sawa mkuu. Huu mradi sijui!!! Manake kuna siku Mh. Masha alishasema mchakato wa suala la vitambulisho ulianza kabla mama yake hajazaliwa lakini leo tunapata contractor wa kuvitengeneza. Isije ikawa ni kichefuchefu kingine tena!!