Malaysian firm picked to produce Tanzania National IDs

Immediate benefits za kuspend 200 bn kwenye hii ishu sasa as opposed to lets say improving teaching material at muhimbili ni nini?
Mimi kweli cjui hio electronic National ID itanisaidieje kimaisha. Tuelimishane.

asante! Haya mambo bwana! vitu kama hivi vinakuacha mdomo wazi...
 
wamekisia tu ili wakishamaliza watangaze tena tenda nyingine waweze kujipatia allowance na asilimia kumi ya kampuni watakayoipa sabuni upya.Hakuna mtu mwizi duniani kama Mtanzania.Hatuna uzalendo tunawazia matumbo yetu pekee.nchi za wengine zimeendelea kwa vile wanajali maslahi ya wote na sii ya mtu moja moja.
 
Nafikiri sasa watu wanaanza kuwa na kile nitakachokiita "ufisadifobia". Jamani onesheni ushahidi basi kwa tuhuma, ama sivyo nchi hii itashindwa kufanya mambo kwa viongozi kuogopa kuitwa mafisadi. This is very a dangerous trend.
 
hatuna wataalamu wanaoweza kutengeneza hizi card? we are too low jamani, plastick card hatuwezi kutengeneza au ni card za bati au electronic card?? heheh
vyuo vyetu vya nini sasa wajameni?
 
Nimeona kuwa tender ya kuchapicha na kusambaza vitambulisho vya Uraia Tanzania ni kutengeneza 25million IDs, je ina maana Watanzania tupo 25Million tu?

Source: The citizen

Media reports in Malaysia reported yesterday that Iris Corp Bhd had won the five-year contract to issue 25 million National Identification cards (IDs) to qualifying Tanzanian citizens. The protracted deal, worth $149 million (about Sh200.2 billion) would involve procurement, supply, design, implementation, test, maintenance, support and commissioning of the national ID system based on modern Smartcard Technology.
Lazima kutakuwa na kigezo cha umri.
 
Tender imetangazwa lini? zabuni ya kutengeneza Cards kwanini ishinde kampuni ya nje wakati hapa tanzania zinaweza kutengenezwa. haya ndiyo makampuni ya kifisadi ya akina Rosta.

Tunataka Zabuni itolewe kwa wawekezaji wa ndani kuinua uchumi na ajira ya watanzania.
 
loh!...HIVI WATANZANIA PAMOJA NA MALAYSIA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO KWA UFISADI WA IPTL,BADO SERIKALI HAIKUONA NCHI NYINGINE YA KUIPA TENDA HII MUHIMU KWA WAZALENDO WA NCHI HII.AU SABABU NI ZILE TEN-DA PER CENT????? ZA WAKUBWA MASLAHI..
 
Dola 6. Sh 9000 kwa kadi! Hehehe nchi yangu bwana. Zitakua electronic kweli?
 
wamekisia tu ili wakishamaliza watangaze tena tenda nyingine waweze kujipatia allowance na asilimia kumi ya kampuni watakayoipa sabuni upya.Hakuna mtu mwizi duniani kama Mtanzania.Hatuna uzalendo tunawazia matumbo yetu pekee.nchi za wengine zimeendelea kwa vile wanajali maslahi ya wote na sii ya mtu moja moja.
we hujasikia kuwa ile mashine ya kukamata wezi ilipotegeshwa tu mahali ndani ya dk 5 ikapotea?
 
Tender imetangazwa lini? zabuni ya kutengeneza Cards kwanini ishinde kampuni ya nje wakati hapa tanzania zinaweza kutengenezwa. haya ndiyo makampuni ya kifisadi ya akina Rosta.

Tunataka Zabuni itolewe kwa wawekezaji wa ndani kuinua uchumi na ajira ya watanzania.

Soko huria, soko huru na hayo makampuni ya Tanzania yenye uwezo yanaweza kupigania tenda nchi za nje nayo yakapata tenda huko, kwanini unataka tenda lazima kampuni ya TZ ishinde?
 
Hapa inaonekana kigezo cha umri kimezingatiwa. Jumla tuko kama 43 Mil. karibu nusu ni watoto chini ya 18yrs. Hivyo wame estmate 25Mil ndo watu wazima na ufisadi humohumo.
 
Hivi sensa ya mwisho iliyohitimisha kwamba Watanzania wanaostahili kupata vitambulisho (National IDs) ni 25 millioni ilifanyika lini? au ni namba tu ambato imetolewa bila ya kuwa na vigezo vya aina yoyote ile?
 
Mkuu, Serikali iliyokuwa madarakani imejaa uzembe wa hali ya juu, hivyo hilo la kupewa vitambulisho hivyo kwa wale ambao hawastahili lazima litatokea kama vile ilivyo passports zetu ambazo zimeshakutwa na watu ambao hawajui chochote kuhusu Tanzania na wala hawajawahi kukanyaga ndani ya nchi yetu.
Kwa jinsi NIDA walivyojipanga kwa kuwatumia viongozi wa Serikali za mitaa, RITA, Uhamiaji na vyombo vingine vya usalama si rahisi watu wasiostahili kuepwa IDs. Isitoshe IDs zinatolewa kwa raia, wageni na wakimbizi waishio kihalali Tz wenye miaka 18 na kuendelea.
 
Tender imetangazwa lini? zabuni ya kutengeneza Cards kwanini ishinde kampuni ya nje wakati hapa tanzania zinaweza kutengenezwa. haya ndiyo makampuni ya kifisadi ya akina Rosta.

Tunataka Zabuni itolewe kwa wawekezaji wa ndani kuinua uchumi na ajira ya watanzania.
Ni kampuni gani inaweza kutengeneza IDs za teknolojia ya smart card Tz? tusilaumu bila kujua ukweli wa jambo. Zabuni si ilitangazwa, mbona wawekezaji wa ndani waliingia mitini?
 
loh!...HIVI WATANZANIA PAMOJA NA MALAYSIA KUTUFIKISHA HAPA TULIPO KWA UFISADI WA IPTL,BADO SERIKALI HAIKUONA NCHI NYINGINE YA KUIPA TENDA HII MUHIMU KWA WAZALENDO WA NCHI HII.AU SABABU NI ZILE TEN-DA PER CENT????? ZA WAKUBWA MASLAHI..

Hii ni blanket judgment against Malaysian companies and it is utterly unfair. Malaysia kama nchi, ina makampuni lukuki ambayo yanafanya biashara pote duniani. Experience ya IPTL inapaswa tu kutufundisha namna nzuri ya kufanya negotiations zetu katika mikataba mbalimbali maana kama ni kuliwa hata Dowans au TICTS zinazotafuna mabilioni ya walipa kodi wenyewe wako hapa hapa tena wenye nafasi nyeti kwenye chama tawala au serikali.

Kuhusiana na hoja za kwa nini ni milioni 25 tu, mimi nafikiri siyo watanzania wote wako eligible kupata vitambulisho kwa wakati mmoja maana kuna ambao bado ni wadogo na hawajafikia umri wa kupewa vitambulisho. Hao watasubiri ku-graduate ili wawe na sifa za kupewa vitambulisho hivyo. Hata uchapaji wa Passport huwa ni hivyo hivyo, huchapwa kiasi halafu replenishment hufanyika as and when stock inapokuwa imepungua. Mimi nafikiri ni vizuri watu waache kuwa sceptical na kushuku kila jambo hata kama hakuna mazingira ya kufanya hivyo. Na vile vile waandishi wa vyombo vya habari wanapotoa inflammatory statement kwamba eti kampuni iliyochukua nafasi ya tatu ndiyo imepewa sijui wana maana gani kwa sababu jambo la msingi hapo ni kwamba aliyeshinda ni yule the best evaluated bidder. Sasa kama kwenye orodha ya hao jamaa walikuwa nafasi ya tatu hilo halina msingi as long as evaluation committee iliona kwamba hawa mawefikia vigezo kuwashinda wengine na wana bid ambayo ni realistic. Bahati nzuri hoja hii imetolewa na gazeti la kila siku la udaku la MTANZANIA na tunajua wanawakilisha maslahi ya nani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom