Sio wote waliopo barabarani wanajiuza, wengine wamechoka kutembea wanajaribu kuomba lifti tu kama huyu:
Umejuaje? Yaani huyu saizi yake ni chipsi kuku tu
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2. Aina ya Malaya mwengine yule anayekaa au naishi na mtu si mumewe wanaishi kama mtu na mume. ama wa 3. Malaya huyu hana mtu maalamu wala hana haja ya pesa yeye akijiwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi atakayempata yeyote atakaye mridhisha siku ile ni sawa kwake.:heh: