Malaya

Ni watoa huduma na c malaya!!! Tucwaponde humu jamvini halafu jioni tunapigana vikumbo viwanja kupata huduma
 
Sio wote waliopo barabarani wanajiuza, wengine wamechoka kutembea wanajaribu kuomba lifti tu kama huyu:
 
Ni watoa huduma na c malaya!!! Tucwaponde humu jamvini halafu jioni tunapigana vikumbo viwanja kupata huduma
 
Hebu toka zako hapa
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2. Aina ya Malaya mwengine yule anayekaa au naishi na mtu si mumewe wanaishi kama mtu na mume. ama wa 3. Malaya huyu hana mtu maalamu wala hana haja ya pesa yeye akijiwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi atakayempata yeyote atakaye mridhisha siku ile ni sawa kwake.:heh:
 
Umalaya ni multi-tasking pia........see.........:heh::heh::heh::heh:

sos%20multispanner.jpg
 
Back
Top Bottom