Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Aibu sana kama Jk akishindwa kwa point na maelezo ya huyo mama.
Kuna political commentator wa Malawi rafiki yangu FB siku moja status update yake ilisema kwamba anamlaumu kuna mwanasheria inasemekana alimpa Joyce Banda ushauri wa kuweka wazi suala la utafiti wa mafuta ziwa Nyasa. Alimwambia kwamba wana haki kwakuwa ziwa ni lao
Rafiki yangu huyo Mmalawi alisema Bingu wa Mutharika alikuwa akiendesha mkakati huo kwa siri kwakuwa alishapata baraka za KIKWETE na ingekuwa vizuri kama wangeendelea kwa mtindo huo.
My take: Inawezekana ikawa ukweli au uongo ila tukumbuke kwamba kuna mbunge aliyeuibua mjadala huu bungeni kule Dodoma Huyo mbunge asingechokonoa haya tungeyajulia wapi? Vyombo vya usalama vilikuwa wapi?
Kwa mtindo wa huyu mama kukutana na JK tuwe makini
mimi ninawashangaa sana viongozi wa malawi;Hivi ni kwa nini waendelee kufanya utafiti wakati majadiliano hayaisha?ni kwa nini viongozi wa malawi waseme hakuna eneo la ziwa litachukuliwa na Tz na wakati huo wanasema tutatue mgogoro kwa majadiliano?This is really contradiction!!sasa kama hutakubaliana na maamuzi(in case kama ni kugawana) unakaa kujadili nini?
Kwa lugha nyingine ni kuwa wamalawi hawahitaji majadiliano.Hivyo nakubaliana na onyo zilizotolewa na viongozi wetu(sitta,membe na lowasa)
Na wewe mleta mada sikubaliana na maoni,hata hivyo nimeshindwa kukuelewa una tetea nini.......
dah afadhali.....mama lazima atulizwe atapoa na na kuwa bardiii, chezea hendisamu wa msoga ww.....
JAMANI TUKUMBUKE HUYU MAMA KAINGIA MKATABA NA UINGEREZA KUCHIMBA MAFUTA, kuwanyima wasiendelee maana yake sio wao wanapata hasara ni uingereza, hivyo wameamua kuendelea kwa kuwa uingereza imewaaagizadah afadhali.....mama lazima atulizwe atapoa na na kuwa bardiii, chezea hendisamu wa msoga ww.....
JAMANI TUKUMBUKE HUYU MAMA KAINGIA MKATABA NA UINGEREZA KUCHIMBA MAFUTA, kuwanyima wasiendelee maana yake sio wao wanapata hasara ni uingereza, hivyo wameamua kuendelea kwa kuwa uingereza imewaaagiza
Mkuu unafikiri maneno ya Sitta,Membe na Lowassa ni maneno matupu?