Malawi yahisi kupelelezwa na Tanzania kama inatengeneza silaha za nyuklia, yakamata ma-spy

Just propaganda,
Uwezo wa spy wa TZ uko ju sana kuliko Malawi,
Just imagine hv kwel spy wa TZ anaweza kwenda kupeleleza Malawi na camera kubwa mpk ashtukiwe!? pamoja na tension yote iliyokuwepo!
So hi ni hofu ya Malawi dhidi ya Tz,
Hapo siajabu wamewakata wamakonde wa watu walikua wanazurura tu,
Ila ipo cku watatuelewa vzur...
Hahahaaa......naona wamakonde walitembelea "maeneo yenye vizuizi kiusalama"
 
Eti Spies/Majasusi kutoka Tanzania?
Hii inaweza kuwa ni joke ya mwisho wa mwaka.
Uchumi wa Malawi ni MDOGO sana hata kufikiri tu.
GDP ya Malawi ni 226.46 per Capita wakati sisi ni 694.77. Kuwa na madini ya URANIUM ni jambo lingine na KUENRICH/Kuisafisha to
Platonium enriched Uranium- weapon grade of U235 si RAHISI. Hii SI kama kujenga Barabara zetu zote za lami.SIYO RAHISI!

Hii ni venture kubwa sana ambayo UCHUMI wa MALAWI hauwezi, nasema tena HAUWEZI kusastain.

Na jambo hili lisingehitaji Tanzania kutuma majasusi huko. INGEKUWA imejulikana MAPEMA. Swali lingine ni MAJASUSI gani HUENDA wakiwa KIKUNDI?????
Tena wakiwa na kamera NZITO NZITO?.

Hiyo ni KUTUONEA na KUISINGIZIA Tanzania.
UNLESS kuna mbinu za Ku divert attention ndani ya nchi yao ili wa focus kwetu.
I do not believe Tanzania could do that.
Leave alone Malawi 's capacity to Nuclear weapon is "ZERO"
Wasiwasi ndio akili, hivi unajua atomic bomb iliyopigwa kule Japan (manhattan project) kuwa uranium yake ilitokea Congo ktk mgodi ujulikanao Shinkolobwe? Usiwabeze sana Malawi inawezekana wao wakawa source ya raw material tu.
 

Wanashindwa hata kutengeneza pakiti za Condom nchini kwao eti leo wanataka tengeneza silaha za Nuklia....

Kichekesho cha kufungia mwaka.
 


Wanashindwa kusambaza maji vijijini mwao!

Ati leo wajenge Nukes weapons!

Hawa waandishi wa hili gazeti watakuwa na Matatizo akilini mwao
 
Unaweza kukuta ni waingereza wanatengeneza
Hapana ndugu ingawa baadhi ya Waingereza ndio wanaowapa kiburi Wamalawi kuhusu Ziwa Nyasa kwa kuwashauri waende kwenye mahakama ya kimataifa na kuwaahidi msaada wa kisheria.
 
Hao wanyasa ni wapuuzi, eti nuclear, wakati miti yetu ya miarobaini wanaimaliza kwa kutengenezea sofa na ku export kwao, halafu ndio wajitutumue na Nuclear, wapuuzi mno, wao ndio wana vi sleepers vyao chungu nzima huko nchini vinajifanya vikata majani , tunaviangalia tu.
Hahaha kweli ndugu hawa jamaa wanapandikiza sana watu huku ambao wapo chini sana yani unakuta mpiga kiwi au mkata majani loool
 
Hapana ndugu ingawa baadhi ya Waingereza ndio wanaowapa kiburi Wamalawi kuhusu Ziwa Nyasa kwa kuwashauri waende kwenye mahakama ya kimataifa na kuwaahidi msaada wa kisheria.
Basi ni kuwa makini,ni kampuni ya Uingereza ndio ina MKATABA wa kuchimba mafuta ziwa nyasa
 
Nyie ndio huwa mnasema mna intelelijensia iliyo makini lakini hadi leo mmeshindwa kugundua alipo Ben..leo hii ndio mnataka polisi wamtafute wakati kila leo mnasema polisi wetu hawana lolote?
Mbowe anajua Ben alipo.
Ben na hili anahusiana nin??
 
Malawi developing nuclear weapons kwa uchumi gani walionao..?? kwa technolojia gani waliyonayo..?? kwa wataalamu gani walionao..?? Iran wenyewe ilibidi waombe kibali IAA kununua technology Russia.. China did the same... Pakistan and India also same sasa hawa Malawi wana struggle na Mahindi kulisha watu leo hii wana develop nuclear..??? Habari ya kupikwa hii.
Hata mimi mkuu nimecheka sana. Huwez kumbeza jirani lakini hapana, hii ni too much!
 
Sitetei mada wala sibezi juhudi za Tz
Kwani watanzania wangapi Tz wako kwe umaskini wa kutosha na si tunang'ang'ania kununua madege na kujenga uwanja wa ndege Chato!!?? Acheni hizo huenda kweli wanatengeneza Nuclear suala ni vipaumbele tu!!
 
Back
Top Bottom