Malawi yaanza kuwa mfano wa kuigwa kidemokrasia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,586
217,977
Huyu ni mgombea urais nchini Malawi Mh Chikomeni Chirwa ambaye ni Rastafarian , akiwa na Mgombea mwenza Mh Nyness Kanyange ambaye pia ni Mama yake Mzazi .

Chikomeni Chirwa 'Rasta Fari' akiwa na mama yake mzazi, Nyness Kanyange, Chirwa .jpg


Mungu ibariki Malawi
 
Back
Top Bottom