Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,323
- 217,336
Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona .
Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na Katumba Songwe , vijiji hivi vina muingiliano mkubwa sana wa kifamilia na raia wa Malawi .