#COVID19 Malawi waanza kupokea chanjo za Corona

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,202
217,158
Nchi ya Malawi nayo leo imepokea Shehena ya Chanjo kwa ajili ya raia wake ili kujikinga na Ugonjwa hatari wa Corona .

FB_IMG_1614959198703.jpg


Natoa wito kwa serikali ya Malawi kuwahurumia watanzania wa mpakani ili nao wapewe fursa ya kuchanjwa wakitaka , hasa wale wa vijiji vya Njisi , Kasumulu , Isaki , Kabanga na Katumba Songwe , vijiji hivi vina muingiliano mkubwa sana wa kifamilia na raia wa Malawi .
 
Tunaweza kuzuiwa kutembelea nchi zote hapa duniani, na hivi WHO wamesema watatoa cheti kwa kila atakaefanyiwa hiyo chanjo ndio basi tena, tutulieni tu humu ndani kwetu kama maparachichi, ndivyo baba yetu anavyotaka hatuna jinsi, japo inasikitisha wakati mwingine hata maparachichi huenda kuuzwa nchi za nje, sijui sisi tufananishwe na kitu gani kingine..
 
BUJIBUJI umesikia jirani wamepata vaccines, fanya utaratibu wa kwenda kuwatembelea ndugu zako wa Karonga!!
 
Hii corona kwa Magufuli ina option mbili tu. Imuue au ikae nae kwa maelewano. Maana naona amekuwa kuwa jiwe, bora tufe wote kuliko abadili msimamo wake. Ila tutaisha bila kujua
 
waongeze na kule nyasa ikiwezekana hata mbinga maana hata lugha zao wanasikilizana. m7 atusaidie kule mutukula na vijiji vya kule. uhuru ikimpendeza awagaie chuga.
 
Hiyo dawa wanayoita chanjo inaashiria kutimia kwa unabii wa 666 kwamba hakuna kuuza wala kununua bila kupokea alama ya mnyama...hakujawahi kutokea chanjo ambayo kila mtu duniani analazimishwa kuchanjwa, vinginevyo anabaguliwa, yetu macho na masikio...
 
Hiyo dawa wanayoita chanjo inaashiria kutimia kwa unabii wa 666 kwamba hakuna kuuza wala kununua bila kupokea alama ya mnyama...hakujawahi kutokea chanjo ambayo kila mtu duniani analazimishwa kuchanjwa, vinginevyo anabaguliwa, yetu macho na masikio...
Washirikina utawajua tu
 
Hiv hawa wazee wanao dead kila siku hamuwaoni au mpaka afee baba ako au babu bibi au shangazi ndo uamin corona ipoo? Ni aibu.
 
Back
Top Bottom