Malawi: Uchaguzi wa marudio wa Rais kufanyika Mei 19, 2020

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,636
22,240
Baada ya mahakama ya katiba kufuta ushindi wa rais wa Malawi uliotawaliwa na bwana Tip ex kuzibadili kura za wananchi Bunge la Malawi limepanga uchaguzi wa marudio use May 19 2020, hongera Malawi kwa kuonesha heshima kwa kura za wananchi.
 
Tz tunatawaliwa na wajinga wasiopenda katiba mpya yenye kutenda haki kwa pande zote.
 
Back
Top Bottom