Malawi refers lake border dispute with Tanzania to UN

Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Messages
4,533
Likes
2,863
Points
280
Ileje

Ileje

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2011
4,533 2,863 280
Malawi refers lake border dispute with Tanzania to UN

December 5, 2016 Nyasa Times Reporter
Malawi has formally protested to the international community including United Nations (UN), government has confirmed.

The border of Lake Malawi , which is potentially rich in oil and gas, is a subject of conflict between Malawi and with Tanzania .

Malawi disputes Tanzania’s claim to half the lake – Africa’s third biggest.
Tanzania is promoting a new map showing that the east African country owns part of the Lake Malawi.

Ministry of Foreign Affairs and International Corporation has advised international community to disregard Tanzania’s new map.

“Malawi government would not have just remained silent because that would mean acknowledgeing the purported new map,” said spokespeeson for Ministry of Foreign Affairs and International Corporation.

The neighbours have disagreed over their border since independence, and report that the lake had vast oil and gas reserves has reignited the ongoing dispute over the boundaries on Lake Malawi.

Malawi has awarded oil exploration licences to international firms such as Hamra Oil of United Arab Emirates to search for oil in the lake, which Tanzania calls Lake Nyasa.

Chief Secretary George Mkondiwa has advised the officials to disregard the “half truth”s by Tanzania by rejecting use of any document bearing such misinformation.

“Malawi will never, and has never, at any time, acquiesced to Tanzania’s unwarranted and unjustified territorial claims,” Mkondiwa said.

Mkondiwa added:“Malawi government would like to call upon all officials in government ministries, departments, and agencies to be alert on this matter and to continue rejecting and refusing to use all such maps appearing in any form or media including calendars, diaries, official documentation or other documents for any purpose or business.”

Meanwhile, Malawi wants the international community, including the UN to resolve the dispute.
 
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
6,245
Likes
5,719
Points
280
Age
40
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
6,245 5,719 280
Hatujaribiwi
 
Alfan issa

Alfan issa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
2,074
Likes
747
Points
280
Alfan issa

Alfan issa

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
2,074 747 280
Malaw sijui wana nn.
 
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2016
Messages
91,323
Likes
844,666
Points
280
ISIS

ISIS

JF-Expert Member
Joined Apr 20, 2016
91,323 844,666 280
Hawa watu vichwa maji kweli kweli
 
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Messages
7,152
Likes
13,108
Points
280
Yamakagashi

Yamakagashi

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2016
7,152 13,108 280
Mbona hawa nao wanatusumbua sana ? Hebu pelekeni ka operesheni tokomeza majangili hapo kusini kutuma ujumbe
 
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
2,337
Likes
268
Points
180
Age
44
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2012
2,337 268 180
Tatizo wageni ndoo wanatugombanisha. Wanataka mafuta. Malawi umaskini wao wanaingia mkenge wa kutaka kushika sharubu za Simba
 
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Messages
15,088
Likes
15,004
Points
280
YEHODAYA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2015
15,088 15,004 280
Malawi refers lake border dispute with Tanzania to UN

December 5, 2016 Nyasa Times Reporter
Malawi has formally protested to the international community including United Nations (UN), government has confirmed.

The border of Lake Malawi , which is potentially rich in oil and gas, is a subject of conflict between Malawi and with Tanzania .

Malawi disputes Tanzania’s claim to half the lake – Africa’s third biggest.
Tanzania is promoting a new map showing that the east African country owns part of the Lake Malawi.

Ministry of Foreign Affairs and International Corporation has advised international community to disregard Tanzania’s new map.

“Malawi government would not have just remained silent because that would mean acknowledgeing the purported new map,” said spokespeeson for Ministry of Foreign Affairs and International Corporation.

The neighbours have disagreed over their border since independence, and report that the lake had vast oil and gas reserves has reignited the ongoing dispute over the boundaries on Lake Malawi.

Malawi has awarded oil exploration licences to international firms such as Hamra Oil of United Arab Emirates to search for oil in the lake, which Tanzania calls Lake Nyasa.

Chief Secretary George Mkondiwa has advised the officials to disregard the “half truth”s by Tanzania by rejecting use of any document bearing such misinformation.

“Malawi will never, and has never, at any time, acquiesced to Tanzania’s unwarranted and unjustified territorial claims,” Mkondiwa said.

Mkondiwa added:“Malawi government would like to call upon all officials in government ministries, departments, and agencies to be alert on this matter and to continue rejecting and refusing to use all such maps appearing in any form or media including calendars, diaries, official documentation or other documents for any purpose or business.”

Meanwhile, Malawi wants the international community, including the UN to resolve the dispute.
huyo raisi wa sasa wa Malawi hajielewi amtafute Joyce banda amwelezee kilichomkuta baada ya kuendekeza huo ugomvi hana hamu na Tanzania alilia kama mtoto baada ya Tanzania kufanya vitu vyake alitolewa ikulu kama kibaka Huyu raisi wa sasa wa Malawi alikuwa Tanzania inaelekea haijui Tanzania vizuri ajiandae kuondoka kwa machozi makubwa kuliko Joyce banda.Kama haielewi Tanzania amtafute Joyce Banda amuulize eti watanzania kuna lolote walikufanyizia? Huyu raisi wa sasa maruhuni mkubwa haelewi kuwa mikakati yote ya yeye kuwa raisi ilipangwa Tanzania ili kumpiga chini Mwehu Joyce banda .Anatutafuta watanzania atatukoma maruhuni mkubwa
 
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
3,509
Likes
2,240
Points
280
Age
38
Chibolo

Chibolo

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
3,509 2,240 280
Hilo ziwa lina faida gani sasa ...bora wachukue lote
 
D

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2011
Messages
2,981
Likes
2,087
Points
280
D

Dr Akili

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2011
2,981 2,087 280
Ulishaona wapi mpaka wa nchi na nchi ukawa kwenye shore (mwaloni) mwa nchi ya mwenzako? Yaani kwa mfano mpaka kati ya Uganda na Tanzania ukawa kwenye mwalo wa upande wa Tanzania? Yaani mwalo wa Kirumba, Nyegezi, Mwanza airport, Bukoba Airport nk ukawa uko nchini Uganda? Kama siyo uendawazimu ni nini hasa hawa Wamalawi wanachotutaka?

Kuwemo kwa mafuta/gas katika Ziwa Nyasa haiwezi kuwa sababu kwani tunaweza kukubaliana kumiliki rasilimali hiyo kwa 50 kwa 50 lakini si Malawi kuchukua mwalo wetu wa Ziwa Nyasa. Hapa hakuna cha UN wala ICC. Waache kutujaribu na kutuletea Syria hapa.

Hivi kweli kama hayo maramani ya wakoloni yangeonyesha kuwa mpaka wa Tanzania upande wa Malawi unajumulisha na mwalo wote wa Ziwa Nyasa ulioko upande wa Malawi, ingekuwaje? Wamalawi wangekubali kweli? Yaani jeshi letu la JWTZ livinjari upande ule wa mwalo wa Malawi kwani liko nchini Tanzania? This is nosense and Malawi must stop this.
 
technically

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Messages
7,439
Likes
18,795
Points
280
technically

technically

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2016
7,439 18,795 280
Acheni masihara kwenye Mali za nchi ziwa lazima tugawane katikati kama Ramani ya wajerumani ilivyo ........

Tukiwapa Kenya nao wakataka Kilimanjaro tuwape?......

Uganda wakautaka mto kagera tuwape tu ?.......

Rais ikiwezekana atume majeshi haraka sana waache kuchezea maslahi ya Taifa........
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,983
Likes
5,498
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,983 5,498 280
Mbona hawa nao wanatusumbua sana ? Hebu pelekeni ka operesheni tokomeza majangili hapo kusini kutuma ujumbe
Unaona ni rahisi kama mnavomsumbua Lema basi na hao ndio mtaweza!
Jaribuni watazamaji tupo
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,983
Likes
5,498
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,983 5,498 280
Simba wa kuchora
 
mwanawao

mwanawao

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2010
Messages
2,100
Likes
1,989
Points
280
mwanawao

mwanawao

JF-Expert Member
Joined Aug 18, 2010
2,100 1,989 280
Hilo ziwa lina faida gani sasa ...bora wachukue lote
Utakuwa usingizini wewe hakuna hata hatua moja ya nchi yetu itakayochukuliwa na jirani,, hapa tutakuwa wamoja kama Watanzania..
 
Forum statistics

Threads 1,274,855
Members 490,833
Posts 30,526,023